Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #341
Aachane na vibabu akuje kwa mayankiShunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]