Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Shunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi
Aachane na vibabu akuje kwa mayanki
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani shuni
Fakalava ni mhuni
Huogopi kulazwa kwenye kitanda cha kunguni?
Mkumbatie supermaket
Jumba la kifalme utaket
Uenjoy humbeger sio supergate
fakalava sio muhuni
 
Nalipwa pound naira mpaka dola
Lengo usruke sound uwe shem bora
Najua umetoka TA kwa sumalee wa hakunaga
Nafukuzia fursa uwe shem siunajua tunakulaga!

Please mrembo Shunie
Shika mhindi wa super uugugumie
Shemeji jiandae hapa kwangu hukulagi,
Natembea bega kwa bega mabebi simuachagi,
Mambo ya kuibiana ujinga stakagi,
Shemeji karibu karibu nyumbani ule mkate na siagi.
 
Moyo wa ushairi vina. Vipo wapi vina vyako. Shunie usije [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Unamsifia mistari, ha?[emoji1] [emoji1]
Hapo amezungumza

Mwambie aturudishie hela zetu[emoji23] [emoji23]

shunie anasifiwa kwa mistari isiyohata na vina? Hapo sidhani kuna hata pesa ya kupaka ina.

Fakalava huyo mpenzi wako mwambie achague moja
1. Aturudishie hela zetu
2. Aache kuimba na kuchana
2. Ashuke stejini tutampiga chupa

Fakalava labda alikuwa anaongea bhn [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenyewe naona ameikubali kinoma,
Kumbe jamaa kashika gazeti anasoma,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kinomaaa
.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kupenda kupendwa, mnapendana sana,
Tatizo ameshindwa, kuendana na vina, Tutamwita vipi bingwa, kwa mistari ya kichina
Si bure umetendwa, shtuka mschana

Ujue sisi ndiyo shareholders lazima tupime Voko anazorushiwa mtoto [emoji1][emoji1]. ..@Supermaket shuka mistari uchukue jiko [emoji115]

Kulalamika lazima,
Kizembe zembe unamkubali
Vina vya kusema sema,
Mizani za kupiga dili
Kama vipi Mwambie achane
Vina vinne vinne, akiflow fresh mbona tutamuona mashine

Ok ok twende;
Njoo mabebey
Nikubebe
Nikupeleke club tukaruke debe

Mrembo shuni
Nikupende july mpaka juni
Nikutoe kwenye maisha duni
Nikupe gari, nyumba, kampuni

Achana na fakalava njoo mtoto mzuri,
Nikupe mali mapesa na magari,
Unukie vizuri manukato ya uturi,
Kukuhonga ghorofa mimi sioni hatari.

Achana na vilaaza
Mkumbatie super braza
Ukaribie familia kubwa
Kuna mawe tutakuhandle kibabukubwa

Ok ok mwanangu daby usijali,
Nibembelezee demu akubali,
Chochote atapata hata mali,
Nitampeleka afrika kusini na rwanda kigali,
Mauritious na senegali,
Ujerumani mpaka italy,
Akale misosi mizuri baga, biriani na wali

Shunie njoo kwangu upate vingi,
Utakuwa malkia mimi nitakuwa kingi,
Utachange umbo, sura na rangi,
Fasta tu watakufananisha na jackline mengi

Jamani shuni
Fakalava ni mhuni
Huogopi kulazwa kwenye kitanda cha kunguni?
Mkumbatie supermaket
Jumba la kifalme utaket
Uenjoy humbeger sio supergate

Aachane na vibabu akuje kwa mayanki
Halafu life zuri si mtaspendi?
Miezi tisa mingi umpige kibend
Halafu umwache njia panda ile ya stendi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mapenzi sio pesa mapenzi ni kupendana
Ukiniacha utanitesa nitaoneka sina mana
Nikupandishe kwenye chesa raha kula ujana
We ukiwa tisa mi nitakuwa sita tunagandana

Shemeji jiandae hapa kwangu hukulagi,
Natembea bega kwa bega mabebi simuachagi,
Mambo ya kuibiana ujinga stakagi,
Shemeji karibu karibu nyumbani ule mkate na siagi.

Ha ha haaaa yaani page 3 zote bado mmechemka mrembo shunie kawawekea ngumu.

Shairi langu ni la digital naona mmezoea ya analojia.
 
nan arudishe hela [emoji30]

hashuki mtu

niacheni na baby wangu mwenyewe nimeipenda

mwenye mistari nilietungiwa nimeipenda kwa nn mlalamike

sitaki voko zenu za fakalava zimenitosha

sitaki voko zenu

mm sitaki nampenda fakalava wangu

sitakiiiiiiiii

baby fakalava njo uwaone hawa machizi

hivi supermarket anakulipa sh ngp

fakalava sio muhuni
Nimeshakuja bebi, hachana na hawa wahuni (panya road).
 
Ameuteka wangu moyo

Kwake unakwenda puta

Nimekuwa kama poyoyo

Kwa huyu Miss natafuta

Kwangu bado ni mchoyo

Ananihofia eti asije kujuta

Sina nyumba, gari, na toyo

Wala sina umiliki wa guta

Mapenzi ni zaidi ya hayo

Baby asiniruke kama tuta

Nitampa raha za kumoyo

Kwa gwaride kama kuruta
 
Back
Top Bottom