Nomaa jamaa ni nomaaa ...kanunua simu kampa demu walivyogombana kampokonyaaaaa ......nichummmmmmmm..[emoji108][emoji108][emoji108]Umesahau kuna kasehemu kanasema " kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya" lol
Hahahaaaaa.
Kila itayemgusa[emoji4]Imfikie nanii hii, au ndo kwa kila itayemgusa??
"Wao wao wao wajuaji wa kusema" Vifuu tunduHahahh.
Umeona eeeh?
Em ongezea ves kidogo hapo
Ewaaa my shogaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Aihuu kabisaaa. Yaani da Kasie akiweke tu kwa kweli.Nomaa jamaa ni nomaaa ...kanunua simu kampa demu walivyogombana kampokonyaaaaa ......nichummmmmmmm..[emoji108][emoji108][emoji108]
Baadhi ya wanaume wa jf sasa wanahonga vinokia tochi wanakuja kulia lia huku kutujazia saver... Inahuuuuuuuuuuuuu [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Hahahaaaa. Umeonaeeee.Ewaaa my shogaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
asante dada la madada
Burundika mamaa kwa raha zako.
Mmmh!!yaweeee iko sida hapa [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahaaa.Haya hiyo hapooo mamaa wape wapeee mie nawapelekea twaaah....
Wacha waisome nambaa.....
sawa hebu nibwagie hiki sidhuriki na lawama mariamu khamisSijaupata huu ila naendelea kuutafuta.
Athannteeeeeeeeeeeee mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Burundika mamaa...
Kila itayemgusa[emoji4]
limfikie nani hili[emoji85] [emoji125]Hahahaaa.
"Mtakufa na kwikwi zenu mchana mchana na hivyo vijipu vyenu rohoni tutawatumbua kwa sana" lol
Ahsante sana kwa kunikonga moyo Dada yangu wa Kinyamwezi.
[emoji445] wabayaaa kweli wabayaa binaadamu hawana wemaAthannteeeeeeeeeeeee mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa