Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Umesahau kuna kasehemu kanasema " kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya" lol

Hahahaaaaa.
Nomaa jamaa ni nomaaa ...kanunua simu kampa demu walivyogombana kampokonyaaaaa ......nichummmmmmmm..[emoji108][emoji108][emoji108]
Baadhi ya wanaume wa jf sasa wanahonga vinokia tochi wanakuja kulia lia huku kutujazia saver... Inahuuuuuuuuuuuuu [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Aihuu kabisaaa. Yaani da Kasie akiweke tu kwa kweli.

Hahahaaa.
 
Siwezi kupoteza muda wa kujibishana na wewe,mbali kushindana na wewe ni kujishushia hadhi naona umepagawa...! marehemu Reila Hatib huyo.
 
Haya hiyo hapooo mamaa wape wapeee mie nawapelekea twaaah....

Wacha waisome nambaa.....
Hahahaaa.

"Mtakufa na kwikwi zenu mchana mchana na hivyo vijipu vyenu rohoni tutawatumbua kwa sana" lol

Ahsante sana kwa kunikonga moyo Dada yangu wa Kinyamwezi.
 
Kila itayemgusa[emoji4]

Swaaafiiii

Ngoja niongezee na hii iwasindikize hehehehehee

Wengine weekend ndo imeanza leo jamani acha tuu nafsi yangu ina raha sana hehehehehhehee he

Haya twende kazii. ....

Saa ingine taarab inafurahisha sana yaani ni mwendo wa vijembe tuu na kutumia macho kupandishana na kushushana pale mnapokutana. Kumuonesha hasidi wako kuwa umechefukwa nae unatema mate pembeni kisha unasonya halafu yuleee unaenda kwa mwendo wa madaha. ... hatua mbili tatu unaachia chekoo hiloo lazima akimbie au alie aahahahahhahaa.

Atii.... maandazi wanywea toogwaa aahahahahahahahaa looh.
 
Hahahaaa.

"Mtakufa na kwikwi zenu mchana mchana na hivyo vijipu vyenu rohoni tutawatumbua kwa sana" lol

Ahsante sana kwa kunikonga moyo Dada yangu wa Kinyamwezi.
limfikie nani hili[emoji85] [emoji125]
 
Back
Top Bottom