Nomaa jamaa ni nomaaa ...kanunua simu kampa demu walivyogombana kampokonyaaaaa ......nichummmmmmmm..[emoji108][emoji108][emoji108]Umesahau kuna kasehemu kanasema " kanunua simu kampa demu walipoachana kampokonya" lol
Hahahaaaaa.
Baadhi ya wanaume wa jf sasa wanahonga vinokia tochi wanakuja kulia lia huku kutujazia saver... Inahuuuuuuuuuuuuu [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]