FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku
Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na mazingira machafu kwakweli siwezi kula Bora nishinde njaa wewe je?