Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Mi kinachonipa shida ni wazazi wangu hasa baba ...wamekuwa watu wa lawama sana hata uwafanyie wema gani! Sometimes huwa natamani kuwablock hata mwaka mzima.

Yaani nikiona simu yao tu moyo unakosa amani kabisa natamani hata niikate
Dah inakera sana,ukipata mzazi mwenye lawama.
 
Back
Top Bottom