Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Kumfanyia kazi mtu kama ambavyo ungefanya kazi yako (na pengine kwake unafanya zaidi) halafu mwisho wa siku azingue kwenye malipo au hata kukupa barua ya kwenda kuchukua mafao yako NSSF punde baada ya kutokuwa na uhitaji na huduma yako, inakatisha tamaa sana.
Pole
 
Msg anakutumia kupitia platform gani?

Wewe umemblock kwenye platform ipi?

Isije ikawa umemblock kwenye Call ila kwenye Platforms zingine anakua na access.
Nimemblock kote..yani kwny contact and watsup....ila nashangaa aisee na namba iko kwny list ya blocked..
Na msg anatuma kwa watsup..anapiga kama kawa...mm naangalia tuu..hii inawezekanaje?
 
Habari za viongozi wa serikali yetu kuna muda zinatia uchungu sana. Ninaelekea kufanikiwa kwa asilimia zote kutojihusisha nazo kwa makusudi.
 
Kwa sasa ni huyu mdogo angu ananipa wakati mgumu mno.

Anapenda high classical life wakati hana pesa anategemea pesa itoke kwangu ndio afanyie mambo yake ya hivyo.

Nikimsema mama yake amakuja juu kuwa nambagua mwanae.

Kiufupi wandengereko wana nipa wakati mgumu mno....

Kingine ni kukaa na watu much know hiyo kwangu inanipa wakati mgumu mno maana unakuta jamaa yeye kila kitu anajua.
 
Nimemblock kote..yani kwny contact and watsup....ila nashangaa aisee na namba iko kwny list ya blocked..
Na msg anatuma kwa watsup..anapiga kama kawa...mm naangalia tuu..hii inawezekanaje?
  • Angalia Blocking limitation kwenye simu yako,simu zingine zinakua na limit,huenda ikawa full,
  • Nenda kwenye setting kuna addition blocking option
  • Kama unatumia Iphone inaweza kua anakutumia msg kupitia i massages,unatakiwa udisable kwenye hiyo contact,
Ukishindwa wasiliana na Network provider wako ili wampige block kwa njia ya Netwok level blocking option.
 
Kwa sasa ni huyu mdogo angu ananipa wakati mgumu mno.

Anapenda high classical life wakati hana pesa anategemea pesa itoke kwangu ndio afanyie mambo yake ya hivyo.

Nikimsema mama yake amakuja juu kuwa nambagua mwanae.

Kiufupi wandengereko wana nipa wakati mgumu mno....

Kingine ni kukaa na watu much know hiyo kwangu inanipa wakati mgumu mno maana unakuta jamaa yeye kila kitu anajua.
Watu wanaojua kila kitu hawajui kuwa they know nothing
 
Nina misala kwa HR PEPMIS inasoma 0

Leo kaniita ghafla nimevaa raba na jeans.

Case ikaja kwann nimevaa t-shirt raba jeans j5

Hafu mbona kazini uwa sionekani (hanioni)

Kaitwa IT alete log ya attendance (finger print)

Chuma inasoma 20%

Me ata sielewi
 
Vitu huwa siwezi vumilia

1. Ujinga na watu wajinga - Kuchangamana na watu wasio na muda wa kujifikirisha na wavivu wa kutumia akili, hii ni moja ya sababu zilizonifanya baadhi ya nyakati kuondoka kabisa bara la Afrika, sisi Waafrika tuna ujinga mwingi sana...

Itaendelea....
 
Deni la 115k as fee inanipasua kichwa UE hiyo inagonga hodi.
 
Ni uamzi tu mimi enzi hizo nilikuwa nazitwika pombe na siwezi kwenda kazini bila kuboost japo castle lager 2
Ila nilianza kupunguza mitungi taratibu leo hii naweza maliza miezi 2 bila kunywa na nikinywa ni kama kibirudisho tu
Kuacha pombe NI ngumu mno
 
Back
Top Bottom