Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Mi kinachonipa shida ni wazazi wangu hasa baba ...wamekuwa watu wa lawama sana hata uwafanyie wema gani! Sometimes huwa natamani kuwablock hata mwaka mzima.

Yaani nikiona simu yao tu moyo unakosa amani kabisa natamani hata niikate
 
Nina misala kwa HR PEPMIS inasoma 0

Leo kaniita ghafla nimevaa raba na jeans.

Case ikaja kwann nimevaa t-shirt raba jeans j5

Hafu mbona kazini uwa sionekani (hanioni)

Kaitwa IT alete log ya attendance (finger print)

Chuma inasoma 20%

Me ata sielewi
Utakoswa kupanda daraja sijui salary mkuu,,
🤣😂😂🤣🤣🤣jaza jaza huko ufikie 60%
 
Deni la 115k as fee inanipasua kichwa UE hiyo inagonga hodi.
Uki overcome kinachokusumbua ndiyo sign ya maturity and kufanya life is meaningfully
 
Binafsi sipend mtu asiyetimiza wajibu wake, awe mtoto ,kijana au mzee
 
Kupigishwa stori ndefu wakati nina kiu.
Nb. Sio kiu ya maji.
 
  • Angalia Blocking limitation kwenye simu yako,simu zingine zinakua na limit,huenda ikawa full,
  • Nenda kwenye setting kuna addition blocking option
  • Kama unatumia Iphone inaweza kua anakutumia msg kupitia i massages,unatakiwa udisable kwenye hiyo contact,
Ukishindwa wasiliana na Network provider wako ili wampige block kwa njia ya Netwok level blocking option.
Nimeiscreen shot kabisa hii comment thank u bro...
 
Watu wanaonizunguka kutokuwa waaminifu na kuwa waongo kwenye mambo mengi huwa vinaniaumbua sana. Mtu anakwambia hebu naomba laki hapo nitarudisha wiki ijayo. Ndio inakuwa imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom