Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

Mi kinachonipa shida ni wazazi wangu hasa baba ...wamekuwa watu wa lawama sana hata uwafanyie wema gani! Sometimes huwa natamani kuwablock hata mwaka mzima.

Yaani nikiona simu yao tu moyo unakosa amani kabisa natamani hata niikate
 
Utakoswa kupanda daraja sijui salary mkuu,,
🤣😂😂🤣🤣🤣jaza jaza huko ufikie 60%
 
Deni la 115k as fee inanipasua kichwa UE hiyo inagonga hodi.
Uki overcome kinachokusumbua ndiyo sign ya maturity and kufanya life is meaningfully
 
Binafsi sipend mtu asiyetimiza wajibu wake, awe mtoto ,kijana au mzee
 
Kupigishwa stori ndefu wakati nina kiu.
Nb. Sio kiu ya maji.
 
Nimeiscreen shot kabisa hii comment thank u bro...
 
Mimi napata wakat mgum sana kwakweli
 
Watu wanaonizunguka kutokuwa waaminifu na kuwa waongo kwenye mambo mengi huwa vinaniaumbua sana. Mtu anakwambia hebu naomba laki hapo nitarudisha wiki ijayo. Ndio inakuwa imetoka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…