Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jun 5, 2024 #61 FK21 said: Nipe acces sasa Mimi mdada wa yanga au ulishahamaga Click to expand... Mimi wa Yanga tena?? Au unatania kaka wa Azam..
FK21 said: Nipe acces sasa Mimi mdada wa yanga au ulishahamaga Click to expand... Mimi wa Yanga tena?? Au unatania kaka wa Azam..
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Jun 5, 2024 Thread starter #62 Kalpana said: Mimi wa Yanga tena?? Au unatania kaka wa Azam.. Click to expand... Kumbe upo vizuri unakumbukumbu
Kalpana said: Mimi wa Yanga tena?? Au unatania kaka wa Azam.. Click to expand... Kumbe upo vizuri unakumbukumbu
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 16,879 Reaction score 31,253 Jun 5, 2024 #63 oladipo said: Mi kinachonipa shida ni wazazi wangu hasa baba ...wamekuwa watu wa lawama sana hata uwafanyie wema gani! Sometimes huwa natamani kuwablock hata mwaka mzima. Yaani nikiona simu yao tu moyo unakosa amani kabisa natamani hata niikate Click to expand... Dah inakera sana,ukipata mzazi mwenye lawama.
oladipo said: Mi kinachonipa shida ni wazazi wangu hasa baba ...wamekuwa watu wa lawama sana hata uwafanyie wema gani! Sometimes huwa natamani kuwablock hata mwaka mzima. Yaani nikiona simu yao tu moyo unakosa amani kabisa natamani hata niikate Click to expand... Dah inakera sana,ukipata mzazi mwenye lawama.
Metamorphosis JF-Expert Member Joined May 27, 2020 Posts 206 Reaction score 358 Jun 5, 2024 #64 Mtu kuomba nimkopeshe hela
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Jun 5, 2024 Thread starter #65 Metamorphosis said: Mtu kuomba nimkopeshe hela Click to expand... Nikopeshe mkuu
Mebuttefly Senior Member Joined Feb 5, 2014 Posts 110 Reaction score 93 Jun 12, 2024 #66 Madeni jamani..