Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

madaraja ya pikipiki ni
A
A1
A2
A3

je nikiwa na A plain tu naweza kusajili kuendesha pikipiki zote hadi bajaji maana haya madalaja ya pikipiki diyaelewi wengne wanasema A plain ni kubwa kuliko zote wengne wanaema bajaji A plain hauendeshi mpka uwe na A3
Unaweza...wanachotaka ni leseni hai tu
 
Kama leseni ya veta haina madaraja ina maana unaeza endesha chombo chochote sio
Hapana VETA hawatoi Leseni, wanatoa cheti tu, wanaotoa Leseni ni TRA (MAMLAKA YA MAPATO)
Na hiyo leseni lazima ioneshe daraja na gari unazopaswa kuendesha mkuu
 
Back
Top Bottom