Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

naomba kuuliza kujiunga lazma uend ofisini kwao au unaweza maliza mtandaoni? pia umesema unaweza tumia plate no ya njano utapata vipi kibali cha latra ambachontax mtandao watahitaji? mwisho kwa mkoani naweza ifanya? hukusu wateja mm nitawapata wengi tu
 
✔️NDIO...unaweza kujiunga ukiwa nyumbani na documents wanazo zihitaji... utazipiga picha kisha uta zi attach kwenye sehemu usika... kwenye mtandao wao either wa BOLT au wa UBER. hivyo haina haja ya kwenda ofisini kwao....!

❌number plates utaiweka baadae ukisha fanya usajili🤣🤣🤣 siri ya kambi hii...! GARI INATAKIWA IWE NA USAJILI WA BIASHARA YANI NUMBER PLATES NYEUPE....

❌HAPANA... sio kila mkoa kwasasa huduma hizi zinapatikana Arusha, Dar es salaam, Mwanza na Dodoma... na huko Zanzibar nadhani

✔️wateja hutafuti mwenyewe yenyewe ndio inakuletea wateja...! unayakiwa uwe na smart phone yenye data tu...! 🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom