X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #141
elfu 35+10000=45,000Hiyo latra inaghalimu kiasi gani?
hiyo elfu 10 ni kwaajili ya ukaguzi POLICE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elfu 35+10000=45,000Hiyo latra inaghalimu kiasi gani?
Je nikitaka kutumia gari ambayo usajili wake sio commercial inawezekanajeNdugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.
PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema kuwa bodaboda sijui ni LAANA. Mimi niwaondoe hofu kuwa bodaboda ni ajira kana ajira nyinginezo.
Kwa ambao mnazo pikipiki zenu fungueni mitandao ya Tax mtandao ambayo ni Bolt/Uber japo Kwa sasa IPO mitandao mingi mingine kama FARASI ama Indrive, lakini Mimi nawashauri Kwa mnao Anza mtumie sana BOLT ndio yenye matokeo mazuri Kwa hapa dar es salaam.
Bolt inalipa asikwambie mtu japo safari zake zinaonekana ni za bei ya chini lakini amini usiamini bei hiyo hiyo ya chini Kuna mtu analaza Hadi elfu 50 Kwa siku siku.
Na ukikomaa bila kuchoka ukafanya kazi Kwa muda mrefu Zaidi ya masaa 12 Kwa siku utapata pesa na utayaona maisha mepesi.
View attachment 2667049
Mitandao ya Tax mtandao ya Bolt na Uber haitumiwi bure ni lazima uilipie ili uweze kuzidi kupata wateja. Bolt ukifikisha deni la shilingi elfu 15,000/= hutopata abiria Hadi ulipie.
View attachment 2667054
Mimi sijaanza kuitumia muda mrefu lakini Kwa kiasi Fulani ninaishukuru sana hii mitandao... Haswa bolt manaa huo wa Uber kwakweli kwangu haifanyi vizuri kabisa, Ila bolt muda mwingine naweza kupata Hadi elfu 50 Kwa siku na hapo Huwa naifanya Kwa muda mchache sijawahi kufanya masaa Zaidi ya manne. Japo wenyewe ukifanya masaa 12 mfululizo wanakupa mapumziko ya lazima, japo Kuna ujanja wa kufanya ili ufanye kazi Hadi masaa 18 Zaidi Kwa siku.
View attachment 2667057
nilishawahi kuomba ushauri humu ndani kuwa maisha kwangu yamekuwa magumu kazi hailipi ila namshukuru Mungu kwasasa kula na kulala uhakika kupitia Bolt na Uber...
Usisahau kuwa hii mitandao ili upate abiria ni lazima ulipie na Kwa bolt ukifikisha deni la shilingi elfu 15 hupati abiria...
View attachment 2667069
Ila ili upate pesa ni lazima ujue ni sehemu gani zenye uhitaji wa abiria, Kwa jiji la dar es salaam kariakoo, posta, sinza, masaki, na mwenge Bolt inafanya vizuri sana.nakaribisha maswali juu ya hii mitandao ya UBER na Bolt
Kwa mtandao wa bolt unatakiwa kuzitunza sana point zako za udereva maana hizo point ndio zitakazo kufanya upewe kipaumbele pindi mteja atakapo kuwa anahitaji usafiri...Kwa kawaida ukijiunga Kwa mara ya kwanza na bolt unapewa score 100.
View attachment 2667086
Lakini matumizi mabaya ya huo mtandao yanaweza yakasababisha ukapunguziwa points zako na hiyo inaweza ikakufanya ukafungiwa au ukawa hupewi kipaumbele Cha kupata abiria hivyo utajikuta unapata wateja wachache...
View attachment 2667091
Picha hapo juu inaonyesha dereva Ambae score zake Ilikuwa zinashuka kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo...
✓kukatisha safari kabla ya kufika...
✓kukataa baadhi ya request
✓chombo kuwa kibovu hivyo abilia aliweka feedback mbaya
N.k
Malipo yapo mazuri hapo chini nitawaonyesha jinsi dereva anavyo ingiza mapato yake Kwa wiki ama Kwa mwezi...
View attachment 2667102hapo utaona kuwa maingizo yalikuwa ni 508500/= lakini baada ya bolt kuchukua chao dereva anabakiwa na 392911/= ikumbukwe kuwa huyu dereva anafanya hii kazi kama part-time job Kwa masaa yasio zidi manne TU Kwa siku. Kwa hiyo ndugu zangu mnao tafuta maisha msiogope kujiunga na Uber/bolt Kwa hapa mjini inalipa...ila unaweza ukafanya kama full-time
Job....ukapata malipo Zaidi ya hayo.
View attachment 2667138
Kwa ambao hamna piki piki na mnatamani sana kuanza hii kazi Kwa sasa Kuna kampuni nyingi hapa dar es salaam zinazokopesha pikipiki na hazina masharti magumu...Kuna kampuni inaitwa WATU IPO pale MWENGE mpakani, wao wanatoa PIKIPIKI mpya kabisa Kwa kianzio Cha shilingi laki nne TU Kwa boxer.. au laki tatu TU Kwa Tvs au Hero... Baada ya hapo utakuwa unawalipa kulingana na mtakavyo kubaliana...NAMBA ZAO NI 0745599611 au unaweza ukapiga namba yao ya bure kabisa 0800750228
View attachment 2667117
View attachment 2684991
Angalizo ni marufuku kumpa mtu mwingine atumie account Yako ya mitandao hii ya Taxi Mtandao kama Bolt na Uber...wakikubaini akaunti Yako inafungwa hapo hapo
View attachment 2684992
Kama umeamua kuwa Uber ukianza kuchagua request nakwambia utapata tabu sana. Ukianza kutopata request mnaanza makasiriko kumbe tatizo ni wewe.
Uber wanavyokupa request afu unazikataa unazidi kujiweka kwenye nafasi mbaya, kama unakataa request bhasi uwe na sababu maalumu mfano labda usiku umepata request mteja anakwenda Mbagala Rangi 3 ndani ndani huko sasa hutaki kwenda huko.
Unaweza kucancel ile request afu ukaandika “Nimewasiliana na mteja, nikamwambia nitamuacha Rangi 3 stand sababu ya usalama wangu, lakini amegoma”. Hapo hata Uber watakuelewa sio una cancel afu unanyamaza tu itawacost sana.
Wengi mnataka request za kwenda Posta, Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach, Kariakoo, Mliman city, Sinza nknk.
Jitahidi sana uwe na rating za juu pamoja na recommendation nzuri kutoka kwa wateja kitakufanya upate request nyingi.
View attachment 2690341
Ubao wa Uber huo...japo sikuwa seriously sana ndani ya siku 4 nikawa nime make 91,100/= kama inavyoonekana.
Bolt inapesa ila bila kuwapiga hautoboi hata kidogo na chombo kinachoka kwa haraka maana engine inapiga kazi bila kupumzika.
Kwa kawaida mafuta na commission huwa zinalamba 50% ya mapato. Mfano ukifanya kazi ubao ukasoma 100k, ujue hapo bolt wanalamba 24k, mafuta yanalamba 26k unabaki na 50k. Hapo inabidi itoe pesa ya kula, umlipe boss kama chombo ni cha hesabu na usave pesa ya service bila kuwasahau matrafic. Unaweza kujikuta home unafika na 20k tu.
Ili uione pesa lazima ujitahidi kutengeneza wateja nje ya mtandao. Hawa wateja wa nje ya mtandao wanafaida 2. Kwanza hukatwi commission pili nauli zao huwa ziko juu tofauti na mtandao hivyo unasave wese . So kwa pikipiki ukiweza kutengeneza 20-30k nje ya mtandao basi unauhakika wa kurudi home na 50k. Ila ukirudi na 50k huo uchovu wake usipime na unakuwa umeupuyanga mji vibaya mno.
Vipi kwa mtu asiyeijua mitaa ya mjini anaweza kufanyaje.Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.

Hapo namini naomba nieleweshweVipi kwa mtu asiyeijua mitaa ya mjini anaweza kufanyaje.
Kuna feature hawajaiweka na mimi ningependa iwepo sasa sijui wanapita humu nipendekeze au napoteza muda wanguNdugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.

ItajeKuna feature hawajaiweka na mimi ningependa iwepo sasa sijui wanapita humu nipendekeze au napoteza muda wangu
Iwepo option ya kumlipia mtu aliye mbali mfano niko Magomeni naagiza Bolt imchukue mwanafunzi Mbezi shule imlete MagomeniItaje
Bolt in map kwahiyo unakuwa unafata Ramani inavyokuongoza.Hapo namini naomba nieleweshwe
Inalipa ndio Ila usiwe mkali Sana Wala mpole Sana Kwa dereva.Vipi kama nina gari yangu nataka kuifanya uber/bolt ila nimtafute dereva nimkabidhi aniletee mahesabu (yaani siendeshi mwenyewe), Italipa?
Inawezekana hujawahi kutumia bolt...! Hilo swala lipoIwepo option ya kumlipia mtu aliye mbali mfano niko Magomeni naagiza Bolt imchukue mwanafunzi Mbezi shule imlete Magomeni
Upo mkoa Gani nije nikuone tuyajengeVipi kama nina gari yangu nataka kuifanya uber/bolt ila nimtafute dereva nimkabidhi aniletee mahesabu (yaani siendeshi mwenyewe), Italipa?
Nilisikia kampuni ya WATU mteja wao akikaribia kumaliza mkataba au deni lake wanafanya namna ya kumwibia mteja wao pikipiki na ukienda kutoa taarifa wanachelewa kurespond kuitruck ilipo kwasababu hizi pikipiko zao wanafunga GPS.
Kingine kinachofanya watu wengi waamini kwamba mchezo huo unachezwa kampuni yenyewe ni kwamba hawaruhusu mtu aliyechukua pikipiki kwao kwa mkopo kuweka GPS yake.
Je,kuna ukweli wowote hapa? Maana najua wewe umekuja lutangaza biashara yako ya pikipiki
Nipo dsm mkuuUpo mkoa Gani nije nikuone tuyajenge
Wanataka kianzio cha pesa ili wakupe pikipiki?Akili za kuambiwa changanya na zako...nimesha chukua pikipiki zaidi ya 5 watu credits na zote nimezitumia Hadi mkataba umeisha...Kuna jamaa zangu nawajua wamechukua pikipiki watu...na hakuna hata mmoja alie ibiwa pikipiki...!
Wizi wa pikipiki upo ukiwa mzembe au wakikuotea... kampuni ya watu ukiacha kuwa riba yao ni kubwa kidogo ila wapo smart sana ni kampuni ambayo naweza Nika ire commend kwa ndugu zangu Yani naipa more than 5 [emoji93] [emoji93] [emoji93] [emoji93] [emoji93]
Gari Gani unayo...?Nipo dsm mkuu
NdioWanataka kianzio cha pesa ili wakupe pikipiki?
Vitz new modelGari Gani unayo...?
Namba zangu 0759170794 ikikupendeza nicheck tufanye kazi kakaVitz new model