Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una gari...?Kijana anaetaka Fanya Hii kazi ana wadhamini waliojenga, LEseni Aje PM tuwezeshane.
Afanye kazi Tugawane mapato
Mkuu huwa inagharimu kiasi gani kupata leseni ya pikipiki?Hapana kata Leseni Yako ..siku hizi Wana verification ambayo itakuhitaji ujipige picha ili application ifunguke picha wanalinganisha na ya kwenye Leseni...hivyo kama muda huo mwenye Leseni yake hayupo maana yake itakulazimu umtafute ili akufungulie Kwa kujipiga yeye picha...itakua ni usumbufu haswa binadamu wenyewe awatabiliki unaweza ukagombana nae akakataa kukufungulia...ni Bora ukakata Leseni Yako kuepuka usumbufu...Leseni ya pikipiki kuipata ni Rahisi sana...
Elfu 70 TU...Mkuu huwa inagharimu kiasi gani kupata leseni ya pikipiki?
Unaweza kunisaidia kutaja nyaraka (documents) zinazohitajika kuipata.Elfu 70 TU...
Tembelea kituo chochote Cha t.r.a ukiwa na Tin Yako au nida...miongozo mingine utaikuta huko huko....japo nasikia siku hizi kupata leseni Hadi uwe umeenda driving schoolUnaweza kunisaidia kutaja nyaraka (documents) zinazohitajika kuipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, naombeni connection ya kupata gari la kufanyia kazi Tax Mtandao. Mi ni dereva nina miaka 25, nimesoma VIP. Namba yangu 0757364989 nipo TabataNdugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.
...
Naomba akikujibu nitag mkuu!!Je kama hutak gar yako iwe na namba nyeupe haiwezekan?
LESENIKujiunga ni bure bure kabisa unatakiwa uwe na
✓LESENI ya udereva yenye Madaraja ya pikipiki kama unataka kuendesha piki piki au c1 kama unataka kuendesha tax
✓chombo chako kiwe na Leseni ya usafirishaji abiria inayotolewa na Latra
✓uwe na bima yoyote hata Third party
✓chombo chako kiwe na usajiri wa biashara
Inawezekana, unaweza ukawa na plate ya njano ukafanya biashara ya Uber ( Japo kihunihuni, na kiujanja.. mamlaka zikikutia nguvuni uandae maelezo ya kutosha) Maana hiyo nyeupe ni yaliyosajiliwa kibiashara so watasema unawakimbia kwenye matozo na kodiJe kama hutak gar yako iwe na namba nyeupe haiwezekan?
Naomba akikujibu nitag mkuu!!
wanataka cheti cha kueleweka cha driving course mzee baba siku hizi na kiwe kimetoka mojawapo ya vyuo hiviTembelea kituo chochote Cha t.r.a ukiwa na Tin Yako au nida...miongozo mingine utaikuta huko huko....japo nasikia siku hizi kupata leseni Hadi uwe umeenda driving school
Ila vya veta havina Madaraja...ya Leseni...maana Mimi nilisoma course ya refreshing pale Tanga lakini cheti changu hakikuwekwa Madaraja... Nilisoma VETAwanataka cheti cha kueleweka cha driving course mzee baba siku hizi na kiwe kimetoka mojawapo ya vyuo hivi
Na kama ni vyeti vya nje ya hivyo vi4 hapo juu (yaanii vyuo binafsi), basi ni lazima viwe na sifa kuu mbili ambazo ni;
- VETA
- NIT
- UJENZI MOROGORO
- POLISI UFUNDI - DAR
1. Muhuri na Sahihi ya Regional Traffic Officer (RTO) wa mkoa husika
2. Kuonesha madaraja ya leseni ambayo dereva anapaswa kupewa
Pamoja sanaUmetisha bro.
Yeah kuna vyenye navyo na vingine havina ila as long as LESENI ipo hai na inaonesha madaraja husika sio case sanaIla vya veta havina Madaraja...ya Leseni...maana Mimi nilisoma course ya refreshing pale Tanga lakini cheti changu hakikuwekwa Madaraja... Nilisoma VETA
NIpe mrejesho biashara ya uber, nataka nishuke mjini nishike chuma.Mupo
Soma kuanzia post ya kwanza utaelewaNIpe mrejesho biashara ya uber, nataka nishuke mjini nishike chuma.
Inalipa ama ni kusaka tonge?
Yeah kuna vyenye navyo na vingine havina ila as long as LESENI ipo hai na inaonesha madaraja husika sio case sana