dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😍View attachment 2667151
Mie nataka mambo haya sasa hapo sii full raha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😍View attachment 2667151
Mie nataka mambo haya sasa hapo sii full raha.
Piki piki Ina kimbiza sana ila ni kama zinafatana TU...japo kihesabu mwenye gari akikomaa anaweza kulaza hesabu nzuri kwasababu bei ya gari IPO juu kidogo ki nauli...ni mara 2 ya nauli ya pikipiki au zaidiUber ya gari na pikipiki ipi inabeba wateja sana?
Unaweza kunisaidia kufungua accountHapana kata Leseni Yako ..siku hizi Wana verification ambayo itakuhitaji ujipige picha ili application ifunguke picha wanalinganisha na ya kwenye Leseni...hivyo kama muda huo mwenye Leseni yake hayupo maana yake itakulazimu umtafute ili akufungulie Kwa kujipiga yeye picha...itakua ni usumbufu haswa binadamu wenyewe awatabiliki unaweza ukagombana nae akakataa kukufungulia...ni Bora ukakata Leseni Yako kuepuka usumbufu...Leseni ya pikipiki kuipata ni Rahisi sana...
Kama unayo Leseni inawezekana ndio...ama unaweza ukadownload apps Yao playstore ya BOLT Kisha ukajisajiliUnaweza kunisaidia kufungua account
Latra ni shilingi elfu 35 TU Kwa kibari Cha tax mtandao...huduma hii hata Kwa pikipiki inaitwa tax mtandao hivyo usije ukazani gharama hiyo ni Kwa tax gari...inaweza ikawa sawa sawa na tax gari...ukikata ile ndogo ya elfu 15 inakuwa ni kituo kimoja TU Yani unaruhisiwa kuwa na kijiwe kimoja...ila tax mtandao inaruhusiwa kupakia abiria sehemu yoyote abiria alipo ilimradi TU sehemu hiyo iwe inaruhusi pikipiki au gari kuingia...maana Kuna maeneo gari binafsi haziruhisiwi kuingia au pikipikimkuu vp gharama za kufata ili kupata leseni ya latra
Latra unaweza kuitengeneza na kuilipia ndani ya nusu saa...na siku hiyo hiyo ukaenda kuchukua...unatakiwa utembelee tovuti Yao huko utafungua akaunti Kisha utapewa control number utalipia...then unaenda ofisi ya Latra na lisiti Kisha watakuprintia...ni rahisi sana.Xaw nmekupata kiongoz je kwa ufahamu wako ni steps zpi nikizifata ntapata leseni ya latra kwa wakati na itachukua mvda gani na nikishapata hyo leseni najiunga moja kwa moja au k una kingne cha ziada
Hakuna utapeli piga izo namba siwezi kuweka namba za mataperi...harafu Mimi ni verified user...siwezi kuweka data ambazo sijazifanyia utafiti ili mtu atapeliwe...ukiwa na hiyo pesa laki nne au tatu ukailipia ofisini Kwa siku hiyo hiyo unapewa pikipiki...hakuna utapeli...na hawatokubali ulipie endapo pikipiki zitakuwa zimeisha ..na Huwa wakimaliza pikipiki utasubiri Hadi kesho...zikiwepo ndio unalipia na kupewa chombo Yako...na PIKIPIKI zao ni mpya kabisa unatoka maganda mwenyewehapo kwenye pikpik uhakika na huchukua muda gani mpaka kuipata.Tatizo la utapeli limekuwa shida sana kiasi kwamba hata kitu kiwe cha kweli tunaogopa.
madaraja ya pikipiki niKujiunga ni bure bure kabisa unatakiwa uwe na
✓LESENI ya udereva yenye Madaraja ya pikipiki kama unataka kuendesha piki piki au c1 kama unataka kuendesha tax
✓chombo chako kiwe na Leseni ya usafirishaji abiria inayotolewa na Latra
✓uwe na bima yoyote hata Third party
✓chombo chako kiwe na usajiri wa biashara
A plain ni Kwa pikipiki yenyewe ndio inampa uwezo dereva kuendesha pikipiki kubwa Zaidi ya cc250... ila haikupi uwezo wa kuendesha pikipiki ya magurudumu matatu lakini hata hivyo Madaraja ya awali ya pikipiki na bajaji upatikanaji wake ni rahisi...tembelea ofisi za TRA au tovuti ya T.R.A portalmadaraja ya pikipiki ni
A
A1
A2
A3
je nikiwa na A plain tu naweza kusajili kuendesha pikipiki zote hadi bajaji maana haya madalaja ya pikipiki diyaelewi wengne wanasema A plain ni kubwa kuliko zote wengne wanaema bajaji A plain hauendeshi mpka uwe na A3
Umesomeka ndugu yanguTax ni kodi(ushuru). Sema Taxi. Taxi ndio usafuri.
Nakupata nakupata nimekucheki PMNukta