X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #61
Poa poaNakupata nakupata nimekucheki PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poaNakupata nakupata nimekucheki PM
Mkuu umenijibu maswali yangu mengi.. asante sana nimepanga kutafuta bajaji au gari aina ya vitz vip ipi itanilipa zaidi hapo maana bei zake ni kama zinafananiana
oh so mkuu niambie nichukue bajaji au vitz ipi itakimbiza sana mapato huko kwenye uber na bolt?Mkuu kati ya bajaji na hiyo gari ndogo naona kama kuna tofauti kubwa tu.
oh so mkuu niambie nichukue bajaji au vitz ipi itakimbiza sana mapato huko kwenye uber na bolt?
asante mkuu wangu nimepata mwangaNgoja Mtaalam @pricemuhando aje kuweka vizuri hapa ila mm kuna mtu namfaham anakimbiza na vitz Earnings zake ziko njemaa sanaa
Nadhani nimekujibu inbox gari inakimbiza japo haitofautiani sana na bajaji...ila gari IPO juu kwasababu imekaa kishua Zaidi maana Kuna maboss hata iweje awawezi kupanda bajaji hua wanajiona kama wanazalilika wakionekana wameshuka kwenye bajaji...harafu Kuna waiting lounge airport Kwa wenye Uber hata bolt hapo unasubiri abiria bila kutumia nguvu airport...sasa watu walioshuka kwenye ndege ni nadra sana kupanda bajaji🙆🤣🙆🤣Mkuu umenijibu maswali yangu mengi.. asante sana nimepanga kutafuta bajaji au gari aina ya vitz vip ipi itanilipa zaidi hapo maana bei zake ni kama zinafananiana
Inafaa ndio unachotakiwa kufanya ni kujisajili Kisha unawafundisha watu wa huko wajiunge...mkiwa wengi mambo yanafunguka huko huko mkoani....ila bei za hii mitandao ni za chini kama umezoea kutaja bei kubwa huu mtandao utauchukia 🙆Vp sisi wa mikoan inatufaa au ni dar tu?
Kwakukuongezea kama uwezo unao nunu usafiri mpya...ili ufanye kazi bila preshaMkuu umenijibu maswali yangu mengi.. asante sana nimepanga kutafuta bajaji au gari aina ya vitz vip ipi itanilipa zaidi hapo maana bei zake ni kama zinafananiana
asante sanaa sana kiongozi Mungu akubariki sana kwakweliNadhani nimekujibu inbox gari inakimbiza japo haitofautiani sana na bajaji...ila gari IPO juu kwasababu imekaa kishua Zaidi maana Kuna maboss hata iweje awawezi kupanda bajaji hua wanajiona kama wanazalilika wakionekana wameshuka kwenye bajaji...harafu Kuna waiting lounge airport Kwa wenye Uber hata bolt hapo unasubiri abiria bila kutumia nguvu airport...sasa watu walioshuka kwenye ndege ni nadra sana kupanda bajaji🙆🤣🙆🤣
Wewe utakua ni Kipimo au Remmy wa BoltNdugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.
PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema kuwa bodaboda sijui ni LAANA. Mimi niwaondoe hofu kuwa bodaboda ni ajira kana ajira nyinginezo....
Kwa ambao mnazo pikipiki zenu fungueni mitandao ya Tax mtandao ambayo ni Bolt/Uber japo Kwa sasa IPO mitandao mingi mingine kama FARASI ama Indrive...lakini Mimi nawashauri Kwa mnao Anza mtumie sana BOLT ndio yenye matokeo mazuri Kwa hapa dar es salaam....
Bolt inalipa asikwambie mtu...japo safari zake zinaonekana ni za bei ya chini lakini amini usiamini bei hiyo hiyo ya chini Kuna mtu analaza Hadi elfu 50 Kwa siku siku....
Na ukikomaa bila kuchoka ukafanya kazi Kwa muda mrefu Zaidi ya masaa 12 Kwa siku utapata pesa na utayaona maisha mepesi.....
View attachment 2667049
Mitandao ya Tax mtandao ya Bolt na Uber haitumiwi bure ni lazima uilipie ili uweze kuzidi kupata wateja. Bolt ukifikisha deni la shilingi elfu 15,000/= hutopata abiria Hadi ulipie..
View attachment 2667054
Mimi sijaanza kuitumia muda mrefu lakini Kwa kiasi Fulani ninaishukuru sana hii mitandao... Haswa bolt manaa huo wa Uber kwakweli kwangu haifanyi vizuri kabisa...... Ila bolt muda mwingine naweza kupata Hadi elfu 50 Kwa siku na hapo Huwa naifanya Kwa muda mchache sijawahi kufanya masaa Zaidi ya manne. Japo wenyewe ukifanya masaa 12 mfululizo wanakupa mapumziko ya lazima...japo Kuna ujanja wa kufanya ili ufanye kazi Hadi masaa 18 Zaidi Kwa siku.
View attachment 2667057
nilishawahi kuomba ushauri humu ndani kuwa maisha kwangu yamekuwa magumu kazi hailipi ila namshukuru Mungu kwasasa kula na kulala uhakika kupitia Bolt na Uber...
Usisahau kuwa hii mitandao ili upate abiria ni lazima ulipie na Kwa bolt ukifikisha deni la shilingi elfu 15 hupati abiria...
View attachment 2667069
Ila ili upate pesa ni lazima ujue ni sehemu gani zenye uhitaji wa abiria, Kwa jiji la dar es salaam kariakoo, posta, sinza, masaki, na mwenge Bolt inafanya vizuri sana.nakaribisha maswali juu ya hii mitandao ya UBER na Bolt
Kwa mtandao wa bolt unatakiwa kuzitunza sana point zako za udereva maana hizo point ndio zitakazo kufanya upewe kipaumbele pindi mteja atakapo kuwa anahitaji usafiri...Kwa kawaida ukijiunga Kwa mara ya kwanza na bolt unapewa score 100...
View attachment 2667086
Lakini matumizi mabaya ya huo mtandao yanaweza yakasababisha ukapunguziwa points zako na hiyo inaweza ikakufanya ukafungiwa au ukawa hupewi kipaumbele Cha kupata abiria hivyo utajikuta unapata wateja wachache...
View attachment 2667091
Picha hapo juu inaonyesha dereva Ambae score zake Ilikuwa zinashuka kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo...
✓kukatisha safari kabla ya kufika...
✓kukataa baadhi ya request
✓chombo kuwa kibovu hivyo abilia aliweka feedback mbaya
N.k
Malipo yapo mazuri hapo chini nitawaonyesha jinsi dereva anavyo ingiza mapato yake Kwa wiki ama Kwa mwezi...
View attachment 2667102hapo utaona kuwa maingizo yalikuwa ni 508500/= lakini baada ya bolt kuchukua chao dereva anabakiwa na 392911/= ikumbukwe kuwa huyu dereva anafanya hii kazi kama part-time job Kwa masaa yasio zidi manne TU Kwa siku. Kwa hiyo ndugu zangu mnao tafuta maisha msiogope kujiunga na Uber/bolt Kwa hapa mjini inalipa...ila unaweza ukafanya kama full-time
Job....ukapata malipo Zaidi ya hayo.
View attachment 2667138
Kwa ambao hamna piki piki na mnatamani sana kuanza hii kazi Kwa sasa Kuna kampuni nyingi hapa dar es salaam zinazokopesha pikipiki na hazina masharti magumu...Kuna kampuni inaitwa WATU IPO pale MWENGE mpakani, wao wanatoa PIKIPIKI mpya kabisa Kwa kianzio Cha shilingi laki nne TU Kwa boxer.. au laki tatu TU Kwa Tvs au Hero... Baada ya hapo utakuwa unawalipa kulingana na mtakavyo kubaliana...NAMBA ZAO NI 0745599611 au unaweza ukapiga namba yao ya bure kabisa 0800750228
View attachment 2667117
Tatizo mpo dar tuu mikoani hampoKujiunga ni bure bure kabisa unatakiwa uwe na
✓LESENI ya udereva yenye Madaraja ya pikipiki kama unataka kuendesha piki piki au c1 kama unataka kuendesha tax
✓chombo chako kiwe na Leseni ya usafirishaji abiria inayotolewa na Latra
✓uwe na bima yoyote hata Third party
✓chombo chako kiwe na usajiri wa biashara
SAWA SAWA kiongozi kikubwa nimewaelewesha TU ..🤣🤣🤣Wewe utakua ni Kipimo au Remmy wa Bolt
Karibu sanaAhsante kwa muongozo...
Jiunge uwashawishi abiria wajiunge...hata huko itafunguka...huu ni mtandao kama Facebook tuTatizo mpo dar tuu mikoani hampo
Pamoja sanaasante sanaa sana kiongozi Mungu akubariki sana kwakweli