TESRA
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 337
- 336
- Thread starter
- #101
Ebu pitia sehemu ya mwisho nmeandika unaweza changia au kuongezea lolote ....wap umeona mim nataka kuulizwa maswali ata mim napenda kujifunza km wew that's why umekuja ktk Uzi huu ....sisomei astronomy wala sisomi jog ... Pia huwa tunapata taarifa kutoka vyanzo mbalimbali hasa website ya NASA nk ....km unaona kuna sehemu wrong leta evidences, una views gani kuhusu kilicho andikwa ..sio unakuja kupinga 2 ata mim nitakuona chizi pia mtu ambaye hujui lolote ............je wewe ambaye umesoma solar system na unajua mambo mengi una maoni gani kuhusu Juno hasa kuhusu mwendo wake unaweza kuelezea vizur ...ata mim napenda kupata kitu kutoka kwako ..sina muda wa kubishana na ww umeandika from duniani to jupita afu unakana ?? jifunze kwanza unaonekana unataka kufahamu vitu vingi na umebase huko ila bado hujajua jifunze ufaham each and everything ndo uanzishe uzi .....ndo mana uzi wako wa uliposema wakuulize maswali yoyote kuhusu haya mambo haujapata hata comment moja cz no one to ask yu those qn yu are stil young nadhan MMU kwa sasa ndo panakufaa