Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

Katikati Jupiter imeumdwa kwa core...( hard material) ila kwa nje ime be covered na gases
Achs kuongea ujinga unafikiri iyo formula inawez kuaply apa shirikisha ubongo usikariri mleta mada mwenyewe kakwmbia hajui

Naomba unipe process zilizotumika mpaka uzito ukapatikana kupitia iyo formula yako vitu vingine waafrika tushirikishe bongo yetu
 
Sor hiii sms siyo yko kun mdau mmoja ndo ulikuwa ujumbe wake sema nimekosea kuquote nka kuquote wewe am sor
 
Zile kuzion mpaka telescope ...ata miez yake inaweza onekana mpaka telescope
Mkuu nikupongeze kwa elimu unayotoa. Huu ni mfano wa kuigwa kwa wengine kushirikisha wanachokifahamu kwa maslahi ya wengine na taifa kwa ujumla wake. Bravo!

Ila kuna sehemu inabidi uboreshe ili elimu hii iwe imekamilika sehemu zote
(kiuandishi na kitaaluma). Katika uandishi wako jitahidi kurekebisha haya; uko = huko, apa = hapa, ata = hata. Ni hayo tu. Vinginevyo Big up!

Kwa kuongezea tu katika maelezo yako, chanzo cha nguvu katika vyombo hivi vya anga za juu wanatumia zaidi madini ya URENIUM kutengeneza umeme wa kuendeshea.
 
huu ni uongo sasa chombo kitembee miaka saba tena kwa speed sorce ya energy inatoka wapi ,humo niani hakuna vikwazo
 
Shukran kwa darasa ila mkuu huo uzito wa jupiter waliupimaj, na hiyo JUNO ilikua pekeyake au ndani mlikua na watu? Miaka 7 kinasafirije bila kuishiwa fuel? Naomba elimu zaidi mkuu
Wazungu ni watu wazuri sana kuandika great stories za kusadikika....ukiwa mtu wa kujiuliza maswali...utaona mwingi ni uongo mkavu tuu
 
Source ya energy ni jua na chombo kimeundwa kukabiliana na misukosuko
Inakalogic umbali ni 778 milion miles gawa kwa miaka saba*365*24=61320 hivyo 778 mil/61320 hrs =12680 yaaani kuna chombo kinaweza kukimbia mile 12,680 kwa saa kikigongana hata na sindano kwa kasi hiyo kitalipoka
 
Ndio hivi vyombo vimetengenezwa ni kama kombora ndio maana hutoka kama mlipuko na huwa kuna mlipuko wa kuchochea nguvu isipungue kila mara.
Kombora la Korea miscell66 lina kwenda mail 203.6 kwa dakika1 je kama chombo kingetumia speed hii kitasafiri mail 12216 kwa saa Lakini haiwezekani katika chombo hicho kuwemo na kiumbe hai.
Kwa speed hii kiumbe hai kitakufa kwa sekunde 2
 
CONSTANT NA KWA MIAKA SABA HAIWEZEKANI
 
a4b6161ae7c1290aeac2228ea50e18e5.jpg
ii image umeitoa sehemu gan mkuu
 
Naomba kujua kuhusu hizi density za sayar zinapatikanaje na tunapodema 1.321g/cm3 ikoje hii mkuu
 
CONSTANT NA KWA MIAKA SABA HAIWEZEKANI
mwaka 2016 kilikuwa kimefika katika sayari ya Jupiter lakin ilipo fika mwez wa 4 .2017 kilikuwa kimeifikia sayari ya Jupiter hasa ktk mwezi unaoitwa kalisto. ....ko unaweza ona ata kama akijafika kabsa wanaidai kimefika bcoz kilikuwa kimeikalibia hiyo sayari
 
Ivi kumbe jupiter inaitwa Mshtarii.!

Mimi nilikuwa najua
inaitwa sumbura.Au yote ni majina yake?

Nafahamisheni wakuu
 
Back
Top Bottom