inategemeana na mwendo wa hizo sayari kikifika kipindi hicho ndo zitaanza kuonekana vzr na zitakuwa nying zikionekana........ Kama kawaida Venus itakuwa ikionekana jion baada ya jua kuzama upande wa magharib na axubui kabla ya jua kuchomoza .......Jupiter huwa ina badirisha badirisha nasafi ko haina constant eneo....lakini malanying huwa inaonekana utosini na huwa ina ng'aa sana na si kwa kuifikia Venus lakini utaigundua Jupiter kwa ukubwa wake...maana yake itakuwa ikionekana kwa iking'aa sana lakin ata mwanga wake huwa ni mkubwa kuliko nyota.....mars nayo ina ng'aa lakini si kwa kuifikia Jupiter au Venus lakin utaigunduaje mars, mars yenyewe huwa inaonekana ikiwa imefifia na huwa na mwanga mwekundu kama ilivyo sayari yenyewe, na mara nyingi Venus na mars huwa zinaonekanaga upande mmoja............mercury hii sayari inatabia ya kujificha ko inakuwa ni vigumu sana kuigundua na kuiona.......lakin sayari ambazo huwa zinaonekana vzr ata kama haujaambiwa ni venus, mars,Jupiter, surtun, kutokana kutoa mwanga wa kung'ara............................namna ya kutazama hizo sayari ni wakati wa usiku na sehemu unayo angalizia kusiwe ni bushi sana( sehemu yenye miti mingi).....yafaa uwe sehemu open mfano uwanjani.......