Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

kumbuka kwamba surface ya jupiter ni gesi na si rock kama ya duniani....pia sayari ya Jupiter kuna uhaba wa oxygen.,..pia hakuna mwanadamu atakaye subutu kwenda sayari ya Jupiter kutokana umbali uliopo pia na chombo cha uhakika ambacho kitambeba huyo mwanadamu ......general Jupiter si mahala salama kwa maisha ya mwanadamu labda waendelee kuichunguza sayari ya mars yenye kufanana mazingira na dunia
Naomba kujuzwa uzito wa hii sayari waliupimaje na wakati hii sayari haihusiki, na huo muda wa miaka saba kwenda huko je kilikuwa kinafika sehemu kinapumzika, au masaa yote siku zote za mwaka kiko kwenye mwendo?
 
Kabla ya kufika mbal kuna vitu vinanitatiza APA,,,,,kipenyo na uzito wq sayari walipimaje?
Maan nawaza na cpati majibu kweny hili swala
Mkuu kipenyo wanaweza kupimakwa kutumia picha zinazotumiwa na chombo husika lakini vip kuhusu uzito wa hii sayari wameupimaje ?
 
Na vip kuhusu ivi vyombo vingine vinavyorudi duniani vyenyewe vinakuwa havijabeba vimelea na pia vinakuwa havina gharama za kuvirudsha uku duniani?
 
Hakuna udongo............iyo imeundwa kwa gesi
Yani hizo gesi zimejiunga kutengeneza sayari, kumaanisha kitu kinaweza katiza katikati ya Jupiter!!!???...Hebu rudi kutafiti kidogo
 
Naomba kujua uzito wa hii sayari ya jupiter waliupimaje na wakati haibebeki mkuu?

Mkuu, uzito wa sayari unatafutwa kutoka Formula ya Newton ya Gravitation

F= GmM/r^2.
 
Na vip kuhusu ivi vyombo vingine vinavyorudi duniani vyenyewe vinakuwa havijabeba vimelea na pia vinakuwa havina gharama za kuvirudsha uku duniani?

Vyombo vikikaribia kuingia atmosphere ya dunia kuna kuwa na friction kubwa kiasi kwamba surface nzima inawaka moto mkali na kuuwa vimelea vyote
 
Galileo aligundua 1610 je wakati wa ugunduzi kulikuwa hakuna hilo doa jekundu?
 
Mimi nikisoma habari nakutana na ........ko dah! Sielewi na ninachukia morali ya kusoma inapungua.
 
Ivi mshatuona waafrika bado in mafalaee unakaa kabisa unandika kuhusu kitu chenye hatutawai kiona na nauli ya kwenda na kurudi hadi apo nishingapi na kama tukitoka hapa na bus tutatumia siku ngapi? Kama inaokota takataka na kutupa njee yenyewe si tulete udongo wauko tuupandikize na WA dar hasa mbagala naka taka zitupwe njee ya jiji, na kama INA mvuke WA maji kilimo gani kitafaa kule?? Ilo shimo tukienda wauliza wanaapolo wa mererani watajua ukweli.

Siku ingine post vitu vya maaba
 
Kwa hiyo ivo vitu vinavoenda anga za mbali huwa havirudi
Ni ngum chombo kurudi kutoka anga ya Jupiter kuludi duniani anga ya huko ni hewa nzito ambayo hata chombo huwa kinapungua nguvu maana chombo hiki hutegemea nguvu ya umeme unaotokana na jua na tayali chombo kikiwa ktk anga ya Jupiter kinakuwa mbali na jua
 
Ivi mshatuona waafrika bado in mafalaee unakaa kabisa unandika kuhusu kitu chenye hatutawai kiona na nauli ya kwenda na kurudi hadi apo nishingapi na kama tukitoka hapa na bus tutatumia siku ngapi? Kama inaokota takataka na kutupa njee yenyewe si tulete udongo wauko tuupandikize na WA dar hasa mbagala naka taka zitupwe njee ya jiji, na kama INA mvuke WA maji kilimo gani kitafaa kule?? Ilo shimo tukienda wauliza wanaapolo wa mererani watajua ukweli.

Siku ingine post vitu vya maaba
Jupita haina udongo imeundwa na gass nzito ni dude kubwa sana
Hakuna maji wala hakuna kiumbe hai cha duniani kinaweza kuishi Jupiter haiwezekani
 
Ina kumbe orbit za sayari haziko katika duara lililo sawa? Ndio maana kuna wakati zinapozunguka kuna wakati zinakuwa mbali na dunia kuna wakati zinakuwa karibu na dunia, sio?
Yap, hata orbit yetu haipo sawa, ndio maana kuna msimu wa kiangazi, kipupwe, masika etc....
 
Ahsante brother. Na vipi kuhusu kuwepo uwezekano wa maisha katika sayari hii, wanasayansi wanasemaje?
Hakuna uhai ktk sayari yeyote ile zaidi ya dunia ..... kumbuka vinavyo enda kule ni vyombo na huenda kukawa na hali mbaya zaid kuliko hata tunavyo amini.....lakin kikubwa ni hali ya hewa kuwa tofaut na dunia km vile uwepo wa carbon dioxide baadhi ya sayari
 
Naomba kujuzwa uzito wa hii sayari waliupimaje na wakati hii sayari haihusiki, na huo muda wa miaka saba kwenda huko je kilikuwa kinafika sehemu kinapumzika, au masaa yote siku zote za mwaka kiko kwenye mwendo?
Baadhi ya maswali yapo nje ya uwezo wangu kama uzito bcoz ata mim bado npo kujifunza km ww.....Jupiter ilikuwa ikitembea uku ikipata nishati ya jua...
 
Yani hizo gesi zimejiunga kutengeneza sayari, kumaanisha kitu kinaweza katiza katikati ya Jupiter!!!???...Hebu rudi kutafiti kidogo
Katikati Jupiter imeumdwa kwa core...( hard material) ila kwa nje ime be covered na gases
Mkuu, uzito wa sayari unatafutwa kutoka Formula ya Newton ya Gravitation

F= GmM/r^2.
 
Ivi mshatuona waafrika bado in mafalaee unakaa kabisa unandika kuhusu kitu chenye hatutawai kiona na nauli ya kwenda na kurudi hadi apo nishingapi na kama tukitoka hapa na bus tutatumia siku ngapi? Kama inaokota takataka na kutupa njee yenyewe si tulete udongo wauko tuupandikize na WA dar hasa mbagala naka taka zitupwe njee ya jiji, na kama INA mvuke WA maji kilimo gani kitafaa kule?? Ilo shimo tukienda wauliza wanaapolo wa mererani watajua ukweli.

Siku ingine post vitu vya maaba
Wivu wa kike huo .....umekuja kufata nin ktk uzi huu sasa..........mb ni zangu usinipangie cha kupost ....nenda ktk nyuz zingine ambazo zinaelezea matatizo ya Tanzania nenda kachangie....naona akili zako zpo unako kalia.... Mwanaume huwez kuandika ufala kama huo ....kama ujavutiwa na nilicho andika pita sijakuita kuchangia
 
Back
Top Bottom