Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

Ebu pitia sehemu ya mwisho nmeandika unaweza changia au kuongezea lolote ....wap umeona mim nataka kuulizwa maswali ata mim napenda kujifunza km wew that's why umekuja ktk Uzi huu ....sisomei astronomy wala sisomi jog ... Pia huwa tunapata taarifa kutoka vyanzo mbalimbali hasa website ya NASA nk ....km unaona kuna sehemu wrong leta evidences, una views gani kuhusu kilicho andikwa ..sio unakuja kupinga 2 ata mim nitakuona chizi pia mtu ambaye hujui lolote ............je wewe ambaye umesoma solar system na unajua mambo mengi una maoni gani kuhusu Juno hasa kuhusu mwendo wake unaweza kuelezea vizur ...ata mim napenda kupata kitu kutoka kwako ..
 
Video hii inasisimua sana, ni ugunduzi zaidi wa wanasayansi wa NASA juu hii ya hii sayari iliyoundwa kwa gasi % kubwa - Jupiter

May 17, 2018




Hiyo unayoiona hapo ni Juno Solar-Powered Spacecraft iliyokuwa imewekwa na wanasayansi hawa kuizunguka Jupiter na kuifanyia uchunguzi tangu July 4, 2016; haya ndiyo majibu yake yakitolewa na Dr. Steve Levin

Hawa ndiyo wanatakiwa kuitwa Ma -DR wa Physics; Kitengo cha Physics UDSM mpo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…