Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

Full kusimamisha, kusalimia kwa ukarimu. Ila wanaringa sana
Wakiringa jikaze,unafikir wote waliowapata walipata kirahisrahis...ukitoswa move on,mwisho utapata tu,kuliko kummezea mate
 
Nimeweka limit, siwezi bembeleza zaidi ya limit yangu au sitatafuta zaidi ya mda nilojiwekea
Hahaha mwanaume aliekua hajui kubembeleza kamwe hapati msichana sahihi
Kila mwanamke ataka bembelezwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha mwanaume aliekua hajui kubembeleza kamwe hapati msichana sahihi
Kila mwanamke ataka bembelezwa
Ila isizidi kipimo changu, eti mtu ubembeleze miaka miwili!

Afu mara nyingi mwenza sahihi hutumii nguvu nyingi kumpata, mara chache tu mtu alosumbua sana huja kuwa na upendo wa dhati.
 
Ila isizidi kipimo changu, eti mtu ubembeleze miaka miwili!

Afu mara nyingi mwenza sahihi hutumii nguvu nyingi kumpata, mara chache tu mtu alosumbua sana huja kuwa na upendo wa dhati.
Sawa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Arabic Queen huo mchanganyiko wa asali, mdalasini na ukwaju unafaa hata kwa mwanaume mwenye sura ngumu angalau kuwa na kijimvuto? au wenywe mapele ya ndevu?
 
Arabic Queen huo mchanganyiko wa asali, mdalasini na ukwaju unafaa hata kwa mwanaume mwenye sura ngumu angalau kuwa na kijimvuto? au wenywe mapele ya ndevu?
Inafaa lkn sidhan kama itaondoa mapele yale baada ya kunyoa ndevu,
io mdaladin na asal kwa wenye chunus.
Io ukwaju inatakatisha uso na pia mwili.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom