Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

Ndio lengo la huu Uzi. Kutoa yale tuliyobeba moyoni ili tuwe huru. Tusiwabebe watu tuwape makavu tuwe huru.
 
Ushapewa makavu yako. Tulia na uachane na udini.
Be kind we Mbibi to all human being regardless their religion affiliation.
Unashindwa kujibu swali. Unaleta shutuma ya kitu usichokijuwa maana yake?

Kama si upunguani huo ni nini? Ujuha?
 
Crazy enough, maisha hayako hivi. Fighting is in God's plan ndo reason Waisrael na Wapalestina kule Mashariki ya kati dini zilikoanzia hakuna amani. Ni Mapambano tu mwanzo mwisho. Ukitaka kutafuta amani wakati wa vita utakufa mapema boy.
Duniani ni mapambano tu, kaburini ndio mapumzikoni.
Grind hard boy.
 
"Mdini" maana yake nini?

Sijawahi kuona mti usio na matunda ukipopolewa. Sikushangai.
Its simple... Ufiche udini. Watu wanakereka. Mbona kuna waislamu wengi humu na hatuwalalamikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…