Njoo utupongeze!

Nami nawapenda sana,

Salamu zimefika, mama anawasalimia pia.

Sikutaka mama akumbuke! Mwambie tunamsalimu na tunamkumbuka sana!!
Hizo za Mwalimu utaniambia chemba!
 
Hongereni sana sana sanaaaaa mana ndoa si lelemama. Mwaka mmoja waweza onekana mfupi lakin ni mrefu kutokana na milima na mabonde yaliyopo katika hii sayari. Niendelee kuwatakia heri katika ndoa yenu.
 
Eimeeeen. Hua nabarikiwa kuona wanandoa wanaojitambua kama nyie....
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana sana sanaaaaa mana ndoa si lelemama. Mwaka mmoja waweza onekana mfupi lakin ni mrefu kutokana na milima na mabonde yaliyopo katika hii sayari. Niendelee kuwatakia heri katika ndoa yenu.

Asante sana Mpendwa! Sio mwaka, ni miaka sasa!
 
Mi namwangalia tu na hizo safar zake za kushtukiza,akichelewa atakuta shamba limepata mkulima....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…