Njoo uufahamu mji wa Ninawi alipotumwa nabii YONA

Musa alisoma na kupata elimu yake yote kwa miaka 40 ndani ya ikulu ya Misri (Kemet) hapa Afrika.

Wasomi karibu wote maarufu enzi hizo Wakigiriki walikuwa wanaenda Afrika kusoma.

Historia ni pana na sehemu kubwa imefichwa.
 
Imefichwa sana. Hata ile inaitwa Greek architecture ambayo ilienea Ulaya imetoka Misri. Wanafalsafa wengi wa kigiriki, hadi Pythogras kasoma Misri. Kiufupi sehemu kubwa ya elimu ya sasa chanzo chake ni Misri. Wagiriki walicopy na kupaste tu. Sema kwa kuwa wamisri walikuwa weusi hakuna anayetaka kuwapa credit.
 
Tripoli hii ya Libya au nyingine?
Tripoli ya Lebanon. Hawa walebanoni ambao zamani waliitwa wafoenike kuna kipindi walitoka kwao na kwenda na kuanzisha miji. Mji wao mkuu ulikuwa Carthage ambao leo ndiyo Tunis. Wakaanzisha na miji mingine, ukiwemo Tripoli wa Libya. Wakichukua jina la mji wa kwao.
 
Tatizo umechanganyachanganya
 
Musa alisoma na kupata elimu yake yote kwa miaka 40 ndani ya ikulu ya Misri (Kemet) hapa Afrika.

Wasomi karibu wote maarufu enzi hizo Wakigiriki walikuwa wanaenda Afrika kusoma.

Historia ni pana na sehemu kubwa imefichwa.
History haijafichwa. Bali watu hatufatilii tu. Inajurikana Misiri ndipo civilization ilianzia. Hata wazungu wanajua. Africa ilikuwa juu, Kisha ikapolomoka, Asia ndogo ( mashariki ya Kati ikapanda, baadae Ulaya, Sasa America na Sasa mashariki ya mbali inainukia kuipolomosha America
 
Haijafichwa sema ilipolomoka tu. Hata Sasa inaonesha gunduzi na maendeleo yanatokea USA lakini siyo kweri ilianzia hapo watata wanahamia tu kwenda kufanyia hapo Mambo yao kwa sababu ndiyo dunia ilipo kwa sasa
 
Mbona hujaeleza ninawi ya zamani ndio Mji gani Kwa Sasa?
 
Miji mingi iliyotajwa kwenye biblia ndo inayokaliwa na waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…