Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Kumbe ulishuhudia mwenyewe, jiandae kiakili
 
Ukikosa kuoa kabila lako Basi jitahidi uoe msukuma aliyesoma, mbena au mmarangu, ukikosa katika hayo usinilaumu.
Lakini eti umeoa mluguru, mndamba, mnyakyusa , mkwere au muha unategemea nini
Kazia kazia hapo Pa mnyakyusa wa MwakaleliπŸ˜…πŸ˜…
 
Hivi kwanini usioe kwenu kabila unalotoka?

Its strange to me,these motherfvckers mnaenda oa watu msiowajua akati dada zako unaoshea nao culture na kila kitu wapo na wazuri tu?

Yaani hii dunia haina watu loyal kabisa
 
mke. sio kabila,dini,rangi,elimu,au wapi anakotoka mke ni tabia
 
Ni Bora wao wape ukoo wenu kuliko nyie mule ukoo wao


Ukweli ni kwamba wale wanawezana wao Kawa wao nakuhakikishia baada ya ya miaka 2 tena mkiwa na mtoto utanambia , wale wanawake ni Bora ndugu zao waje kuwatembelea ila sio ndugu zako wanawake wengi wa huko Wana hii kasunba hasa wale waliolewa na makabila mengine.



Makabira ya kaskazi yenye ahueni ni maasai japo wanatabia za kisukuma
 
Hivi huko Marangu si ndiyo wanakotoka Waparestina?, kijana huoi kabila lake unamuoa yeye kama mwanamke....
Wengi mnajidanganya swala la kuoa ni zito kuliko unavyodhani kwamba hauoi kabila, n.k, kabila ndo tabia na wengi waliojipusha na tabia za kikabila ni wachache wanawake wa kichaga waliozaliwa miaka ya 80 kuja juuu ni simu kali
 
Tatizo utoto umejaaa ukijiona huna haja ya kuoa bac ujue wewe bado n mtoto maaana kipimo kizuri cha ukubwa ujue kuwa kuna somebody anakutegemea na hata uwe na umri wa miaka mingapi kama bado hujaona kichwan mwako kuna kautoto flan iv
 
mwanzoni utajua umepata jiko ila siku zinaposonga utajua hujui weka mbali na watoto kuna siku utakuja kunishukuru mimi sitaki hata kuwasikia kuna mtu wangu wa karibu juzi kati aliniambia anatamani afe kulikokuendelea na ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…