Kumbe ulishuhudia mwenyewe, jiandae kiakiliAsante mkuu 🙏
Nimewahi kupractice mahakamani kidogo, kuna pedeshee mmoja alioa huko baada ya miezi 6 mke akaja kudai talaka na mgawanyo wa pesa ndo maana napatwa na kigugumizi kiasi cha kuja kufungua uzi kabla sijajiingiza mwenyewe kwenye ilo gereza huru