Ila mwanzoni mapenzi yao ni matamu kinoma wanajua kumteka mwanaume kwa kumtii mwanzoni, sauti nzuri, kujali sana, akili na ushauri mzuri, pia huwa wanataka sana kujua kipato chako, kazi yako kwa mbinu nyingi sana, wakishajua wanakukadiria majukumu kulingana na kipato chako!
Yote huko unaweza kuvuka lakini yote tisa jiandae kuwa mtu wa kujitetea sana maana hawana dogo, ukimkosea mnaweza nuniana muda wowote na hawaoni shida, ikifikia hatua hiyo ndipo utawaekewa vizuri kwamba ulikurupuka!
Mwanzo wao huwa ni mzuri lakini mwisho wao huwa unaumiza sana kuliko wanawake wengine!
Tofauti yao kubwa na makabila mengine hawana huruma kabisa linapokuja suala la ugomvi ni vita kabisa, wapo tayali hata kutafta na wakili kuendesha kesi!
Narudia tena HAWANA GARANTII ya kukupa mapenzi ya uhakika!
Ukitaka kuwezana nao uwe na pesa au cheo pia uwe ni mtu wa safari yaani ukikaa nae sana isizidi wiki unasafiri unamwacha! Unakaa huko mpaka tena baadae!
Hayo msisha ni magumu ingawa jamii itaona kama unapendwa lakini ndani ni maumivu tu! Na akiwa hajisikii mapenzi yeye usimguse had atake yeye