Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho wa Mungu amekutoa hapo. Ungekufa mkuuUmepita mulemule mkuu, huyu mchumba ananicost sana ingawa namudu izo gharama ila kuna muda huwa nafikiria what if mambo yangu ya uchumi yakaenda mrama huko kwenye ndoa maana kesho zetu hazitabiriki, atakuepo kwa ajili yangu kweli?
Mkuu hakuna ulichobakisha.Ila mwanzoni mapenzi yao ni matamu kinoma wanajua kumteka mwanaume kwa kumtii mwanzoni, sauti nzuri, kujali sana, akili na ushauri mzuri, pia huwa wanataka sana kujua kipato chako, kazi yako kwa mbinu nyingi sana, wakishajua wanakukadiria majukumu kulingana na kipato chako!
Yote huko unaweza kuvuka lakini yote tisa jiandae kuwa mtu wa kujitetea sana maana hawana dogo, ukimkosea mnaweza nuniana muda wowote na hawaoni shida, ikifikia hatua hiyo ndipo utawaekewa vizuri kwamba ulikurupuka!
Mwanzo wao huwa ni mzuri lakini mwisho wao huwa unaumiza sana kuliko wanawake wengine!
Tofauti yao kubwa na makabila mengine hawana huruma kabisa linapokuja suala la ugomvi ni vita kabisa, wapo tayali hata kutafta na wakili kuendesha kesi!
Narudia tena HAWANA GARANTII ya kukupa mapenzi ya uhakika!
Ukitaka kuwezana nao uwe na pesa au cheo pia uwe ni mtu wa safari yaani ukikaa nae sana isizidi wiki unasafiri unamwacha! Unakaa huko mpaka tena baadae!
Hayo msisha ni magumu ingawa jamii itaona kama unapendwa lakini ndani ni maumivu tu! Na akiwa hajisikii mapenzi yeye usimguse had atake yeye
Ok sawa.. ila epuka sanaa iyo tabia ya kupotezea muda wanawake, itakujageuka kwako kuwa makini, kama una mface mwanamke kuwa straight, kama unataka kumuoa au la?nilshaghairi ilo suala mkuu saiv wadada wa iyo kanda wapo kwenye list yangu ya mabinti naowapotezea tu muda ikiwa nipo/ntaingia nao kwenye mahusiano. yaani ni red flags hadi kwenye mshusiano
shukran