Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Mzee wangu lazima ulisome kabila kabla haijaingia kwenye mila na desturi za watu sio baadae ukoo mzima unahamia kwako uwalishe unaanza kukaza macho
Mi i dont care, kikubwa nipate watoto wenye akili, mama yao awe mlezi bora, mrembo n.k ukabila na udini i dont care....


Kusidia familia yake ni sawa tu..
 
Mi i dont care, kikubwa nipate watoto wenye akili, mama yao awe mlezi bora, mrembo n.k ukabila na udini i dont care....


Kusidia familia yake ni sawa tu..
Sawa nenda hivyo ukifika miaka 10 nae kabla hujafika 15 utaingia JF kutuhabarisha yalikusibu huku ukiwa na kitanzi na dawa ya kuulia wadudu unafanya uchaguzi kipi kikuwahishe mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…