uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Sitoki Kilimanjaro namsaidia jamaa apate mke mwemaUnawapigia debe Dada zako wa Kilimanjaro au sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitoki Kilimanjaro namsaidia jamaa apate mke mwemaUnawapigia debe Dada zako wa Kilimanjaro au sio?
Mi i dont care, kikubwa nipate watoto wenye akili, mama yao awe mlezi bora, mrembo n.k ukabila na udini i dont care....Mzee wangu lazima ulisome kabila kabla haijaingia kwenye mila na desturi za watu sio baadae ukoo mzima unahamia kwako uwalishe unaanza kukaza macho
Mimi niliwashindwa hao viburi wanapenda Wanaume mabaunsa wababe wababe km wakina Umaga na Undertaker muda wowote zinapigwa miereka za kina ray maustrioSitoki Kilimanjaro namsaidia jamaa apate mke mwema
Duh hiyo hatari ila nadhani haijumuishi woteKiufupi kipindi Bro yupo hai mwanamke alikua anatoroka anaenda kufanya umaid kwenye Bar anakaa mpaka muda ataojisikia yeye kurudi Nyumbani. Alivofariki mke aliuza kila kitu alichoachiwa na bro akaondoka na watoto kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.
🤣Hata shepu haina kazi kwa wengine... kikubwa K iwepo
Hapa naongelea mpare ukipata alielelewa vizuri utaiona paradiso dunianiMimi niliwashindwa hao viburi wanapenda Wanaume mabaunsa wababe wababe km wakina Umaga na Undertaker muda wowote zinapigwa miereka za kina ray maustrio
Sawa nenda hivyo ukifika miaka 10 nae kabla hujafika 15 utaingia JF kutuhabarisha yalikusibu huku ukiwa na kitanzi na dawa ya kuulia wadudu unafanya uchaguzi kipi kikuwahishe mapemaMi i dont care, kikubwa nipate watoto wenye akili, mama yao awe mlezi bora, mrembo n.k ukabila na udini i dont care....
Kusidia familia yake ni sawa tu..
Kwani Mimi naongelea wapi Kilimanjaro the land of Chagga & Pare, wote hawana tofauti yoyote kigezo chao hawatofautiani na Wanawake wa kikurya ubabe ubabe yaan akizingua makofi huyo ndio wanaona MwanaumeHapa naongelea mpare ukipata alielelewa vizuri utaiona paradiso duniani
Utatembea huku ukimeremeta
Nasikia wanawake wa kaskazini wanachinja hadi mbuzi..Dada zetu hawataki watu laini ukiwa soft utageuzwa mke wewe
Duh kwa tz hii tuoe wapi mkuu maana umeongeza na mkurya hapoKwani Mimi naongelea wapi Kilimanjaro the land of Chagga & Pare, wote hawana tofauti yoyote kigezo chao hawatofautiani na Wanawake wa kikurya
Basi kaoe Mbulu au Mrangi.Mi i dont care, kikubwa nipate watoto wenye akili, mama yao awe mlezi bora, mrembo n.k ukabila na udini i dont care....
Kusidia familia yake ni sawa tu..
Yaa... Hawanaga ubaya dada zangu kabisa wa damu...wamepewa Bure wanatoa uponyaji bureUmetumia injili kuelezea namna wanavyoponya
Ukienda kwenye kumbi za harusi 90% ya ndoa ni wao je waoaji hawana macho!?La hasha!wameona kituKwani Mimi naongelea wapi Kilimanjaro the land of Chagga & Pare, wote hawana tofauti yoyote kigezo chao hawatofautiani na Wanawake wa kikurya ubabe ubabe yaan akizingua makofi huyo ndio wanaona Mwanaume