Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Hawana shida Hapo Uwakika, mwanamke wa kichaga mkielewana mbona poa sana.
 
Kila man anaexperience yake tofauti na wengine mkuu. Yale yanayosemwa sana kuhusu hyo kanda, ww yachambue si uko field huko unajionea mzee...mengine muombe mwenyezi mungu akusaidie😇
 
Mkuu sisi wengine tumesoma English medium kuanzia kindergarten,,hayo maneno ya kaskazini,kusini,,mashariki na kusini yanatuchanganya,,jaribu kufafanua vizuri,,, kaskazini ndio wapi, north, south, West au east???
 
We jichanganye tu huo weupe wao
 
Sasa hadi mshatambulishana sisi tukusaidiaje mkuu?

Usitujumuishe huko,tayari umeshafanya maamuzi,endelea na mipango yako uliyoianzisha,usitafute pa kuangushia lawama
 
Sasa hadi mshatambulishana sisi tukusaidiaje mkuu?

Usitujumuishe huko,tayari umeshafanya maamuzi,endelea na mipango yako uliyoianzisha,usitafute pa kuangushia lawama
Sawa kaka Mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…