Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

Tafuta mwanamke wa kuishi nae kwa amani. Wife material kivipi? Kumbuka wewe ndo kiongozi wa familia. Haya mambo nimekuja kuyaona kama marketing tu. Biashara inatangazwa.
 
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Umepanga kuoa kanda au msichana unayempenda?
Kila mwanadamu ana tabia,hulka,mapenzi, muonekano, harufu tafauti na mwingine yoyote kama zilivyo fingerprints. Never ever generalise ila tegemea majibu tofauti kwani kila mja ana experience tofauti either direct yamemkuta(mazuri au mabaya) au yamemkuta mtu wake wa karibu plus unproven hearsay nazo ni nyingi sana.
 
Kama unapeleka posa Marangu, ukitoka Korogwe kabla ya kufika Njia panda Kuna vimiji viwili hapo katikati, kimoja kinaitwa Same na kingine kinakaliwa na wagweno. Ukifika kwenye hivyo vimiji, funga vioo vya gari Hala usiangalie pembeni usije ukaambukizwa tabia mbayd
 
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Unaoa mtu au Kabila maana kila Kabila Lina mapungufu yake
 
Kwa kadiri nilivyoangalia dira/compass kwenye ramani,mikoa niliyoiona kaskazini ni Mara na Kagera.Nikaenda ndani ya wilaya za hiyo mikoa haina sehemu inaitwa Marangu.Au uelekeo wa kaskazini umenishinda kuutambua vizuri?
 
Ukikosa kuoa kabila lako Basi jitahidi uoe msukuma aliyesoma, mbena au mmarangu, ukikosa katika hayo usinilaumu.
Lakini eti umeoa mluguru, mndamba, mnyakyusa , mkwere au muha unategemea nini
Haya mambo hayana muamana kuna jamaa yangu aliotewa na binti wa kisukuma aloo hako kabinti ni kana roho mbaya halafu kana tamaa ya vitu vidogo vidogo balaa ambavyo havina hata msingi.
 
1730300326675.jpg
 
Ughonile..

Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.

Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.

Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam

Nawasilisha.
Kaskazini hakuna wanawake pale, zamani nilihisi Tanga ila nikaja kujuwa ukweli kumbe yale mapenzi wanayojivunia ni uchawi mtupu tu.
 
Mkuu, kwa experience ambayo niliwahi kupitia kuhusu hao watu pamoja na shuhuda ambazo nmeziona, kaza moyo usiingie ndoani hapo.
 
Back
Top Bottom