Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Ponda raha dadaUsalama hakuna kabisa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ponda raha dadaUsalama hakuna kabisa🤣🤣
Kipaumbele ni pesaUmekosea njia ondoka kwenye hili jukwaa; ungejua wanasiasa wanagombana sababu ya kutaka kuridhisha mapenzi basi tu.
Mapenzi ndio Mjadala wa dunia
DuhKama ni mpare weka ndani faster huyo ni mke
Umepanga kuoa kanda au msichana unayempenda?Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Unaoa mtu au Kabila maana kila Kabila Lina mapungufu yakeUghonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Ayo mapungufu ndo nataka nipime kwenye mizani kama naweza kuyahandleUnaoa mtu au Kabila maana kila Kabila Lina mapungufu yake
Mbona Mimi Nina miguu mizuriii Na nimetoka uko Sio wote jamani wenye tabia njema wapoMarangu hawana shida Kama unakipato halali. Ni wacha Mungu wazuri, Wana maumbo mazuri Ni wasafi na elimu wanayo. Tatizo lao miguu tu.
Kabisa asiwe legelege ataendeshwaDada zetu hawataki watu laini ukiwa soft utageuzwa mke wewe
Kwa kadiri nilivyoangalia dira/compass kwenye ramani,mikoa niliyoiona kaskazini ni Mara na Kagera.Nikaenda ndani ya wilaya za hiyo mikoa haina sehemu inaitwa Marangu.Au uelekeo wa kaskazini umenishinda kuutambua vizuri?Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
MnyakyusaMimi nimekulia kijijini mkuu, pamoja na kuwa ni msomi ila nina elements nyingi za wahenga.
Haya mambo hayana muamana kuna jamaa yangu aliotewa na binti wa kisukuma aloo hako kabinti ni kana roho mbaya halafu kana tamaa ya vitu vidogo vidogo balaa ambavyo havina hata msingi.Ukikosa kuoa kabila lako Basi jitahidi uoe msukuma aliyesoma, mbena au mmarangu, ukikosa katika hayo usinilaumu.
Lakini eti umeoa mluguru, mndamba, mnyakyusa , mkwere au muha unategemea nini
Kikubwa awe anaweza kutembea 😗Sasa unataka mguu mnene wa nini? Kikubwa kama shepu ipo inatosha, miguu unafanyia kazi gani mkuu? 🤣
Kaskazini hakuna wanawake pale, zamani nilihisi Tanga ila nikaja kujuwa ukweli kumbe yale mapenzi wanayojivunia ni uchawi mtupu tu.Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Hii kitu inavunja kabisa nguvu za kiume