Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa.

Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!

View attachment 1884438

View attachment 1884484
Kwa mtazamo wangu kama ex ftbol player.

Huyu mchezaji ni wa kihistoria na hakujawahi tokea mfano wake since 1961.

Hongera zake na abarikiwe kizazi chema..Ameen
 
View attachment 1884651
Baada ya Mohamed Hussein kuingia kwenye maisha ya ndoa, basi amemtoa mchezaji mwenzake Meddy Kagere kutoka nafasi ya kwanza ya kuwa na mke mzuri ligi kuu yote ambayo aliishikilia kwa muda mrefu. Shabalala alivuta mke wake mwenye asili ya Uarabuni mwisho wa wiki hii.
Msimamo mpaka sasa hivi ni kama ifuatavyo.
1. Shabalala
2. Kagere
3. Yondani
4. Chirwa
5. Nyosso
Yalaah..Si Dada yake Mcihael Jackson huyu!
 
Huyo mkewe ni mzuri bila make up.Kamaliza IFM 2009.Tunamfahamu vizuri.kundi lake la discusion alikuwa na mtoto wa bakhresa.vyovyote iwavyo atakuwa na pesa ndefu ya kumfanya asiangaike na mpira wa kurogana kibongo bongo.
Bongo wachezaji wanapigana misumari mpaka kipaji kinakufa.
 
Back
Top Bottom