Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

Huyo dada ni mzuri aliyemfanyia makeup kamnanga .
Kwa kukadiria anaweza kuwa na umri gani mkuu?

Nimem-zoom gauge imesoma ni kama yupo 36/38 hivi mume 25/28,ila nadhani waachwe kama wamependana kwa dhati ila kama huyo dogo amekokotana nae akidhani ni mwarabu basi atakuwa amepuyanga vibaya sana.
 
Nishajisemea ikitokea bahati mbaya nikao mwanamke akaja kapaka tope "Mekapu" usoni lazima nimkatae.
Kuna radha yake mtu ukiwa natural..no wig,no rasta za kusuka, no make up..
[emoji28][emoji28]Sawa mshkaji wangu
 
Mkuu unamanisha 2019 au 2009?
 
Hicho ni kaa kijini maimuna cha Songomnara kisiwani, khaa yaani hicho kibibi sijui kitoto cha mpili na hio saloon huyo alombibisha atakuwa wautopolo sio kwa ubibi huo. "Bibi the Bibiz"
 
Demu Kama Michael Jackson? Zimbwe usitufanyie hivyo bhanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Haya mambo ya Bakhresa si ndio Dewji hayataki haya? Kijana awe makaini kidogo na anayemlipa mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…