MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Mafanikio ya Mapinduzi ya umma au mageuzi ya Umma hufanikiwa pale tu vyombo vya usalama vinapokuwa upande wa wananchi.
Mpango huu umeanza wiki kadhaa sasa kuandaa utaratibu wa kuwaunganisha wananchi wote na vyombo vyetu na kuunda njia za mawasiliano na askari wetu hasa vijana.
Kila mtu ahakikishe anayo application ya telegram na Signal, huu ni wakati mzuri wa kukomboa hii nchi
Hakuna hela ya uchawa itakayozuia mageuzi, na machawa wa mafisadi

Watanzania hakuna hela ya uchawa itakayozuia haya mageuzi, na machawa wa mafisadi mtakuja kujutia uamuzi wenu kwa machozi ya damu.
kujutia uamuzi wenu kwa machozi ya damu.