Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha
Punguza mhemko na papara, penda kujifunza na kujielimisha! Pitia hii sheria ukurasa wa 20.
 

Attachments

Mosi, the past shapes the future, pili serikali haitegemei influensa kusimamia majukumu yake, hao influensa wanaweza kuwepo au wasiwepo lkn matukio yakitokea serikali itafanya wajibu wake..to maintain ORDER..tatu, angalia kwa upana mambo ya michango kijana, dunia ina tatizo la money laundering na michango inatumiwa sana kutakatisha pesa haramu! huwezi achia kila mtu achangishe michango pasina utaratibu..mara zote huwekwa utaratibu na serikali kukusanya michango kwa wanaopenda kusaidia wahanga, km huiamini serikali basi nenda mwenyewe kwa wahanga mahali walipo uwape mchango wako!
 
Kama kawaia PM anahemka tu
 
Waziri mkuu hakumkamata yeyote, tusizushe.
 

Embu peleka upumbavu wako huko hiyo sheria haikatazi mtu mwingine kukusanya michango.
Watu wanaweza kukusanya ila wanatakiwa waiwasilishe kwenye kamati ya maafa.
Sasa huyo binti si alikuwa anawasaidia kukusanya halafu awapelekee.
Kimsingi Kasimu Majaliwa kachemsha sana kwenye hiyo ishu kwa kutoa agizo la ajabu na hovyo kabisa AMEKURUPUKA
Unless otherwise wangemsubiri akusanye na asingeziwasilisha kwenye kamati ndio wamkamate.
 

Attachments

Another marked assassin!!

Mkuu wala huhitaji kunilia radar, njoo tuonane face to face!! Uchawa mpaka kwenye maoni ya michango ya maafa ya Niffer!!

Hakika ukungu unaanza kutoweka!!
Ahahah nakujok
 
Why are you obsessed with ORDER, have you seen any signs of anarchy?
Kwanza only future of progressive thinkers can be shaped by their past, this doesn't benefit society of sticklers for rules like what you're.
Pili yote ulosema including money laundering ndio tumesema weka control mechanism au auditing.
Tatu uongo serikali sio self sufficient ni mara nyingi tu inaalika michango toka kwa wadau mbalimbali, hata kariakoo kwenyewe kuna wadau wengi tu wasiotoka serikalini PM aliwataja na kuwashukuru, mv Bukoba wadau binafsi walishiriki nk
Unataka kusemaje tena?
 
This Man should not be trusted Again. Hupaswi kumwamini mwuongo hata kama akiongea Ukweli.
 
Kumuhoji mtu ni mpaka pawe na jambo linalokiuka utaratibu au sheria fulani. Sasa tunachotaka kujua, huyo Niffer kafanya kosa gani au kakiuka utaratibu upi uliosababisha aitwe kuhojiwa??
 
K
Kwa Nini huo ushawishi wao wasiutumie kwenye utaratibu uliowekwa?!
 
Mkuu hoja zako zinapangana zenyewe kwa zenyewe na umechanganya mambo mengi sana kwenye kitu unachohoji. Kwa Tanzania sijui lakini nachojua ni kwamba kwenye nchi nyingi, kukusanya fedha katika mazingira ya janga kama hili ni lazima uwe na kibali. Nadhani hata Tanzania lazima kuwe na utaratibu maalum. Unaweza kutumia common sense tu na kuona kuwa kwenya majanga yanayohusisha public kama hili, ukiruhusu uchashangishaji wa fedha bila utaratibu maalum unakaribisha ufisadi na utapeli. Waziri mkuu yuko sahihi kabisa.
 
Freedom without order is chaos..in everything there must be orders with no regard of anything..provided peace n harmony prevails! control imewekwa, mambo yote ya michango yanaratibiwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ili ku-counter check issues zote, utapeli, money laundering nk...utakuwa ni ujinga kudai namna nyingine kuratibu michango kwa wahanga pasina kusema utaratibu uliopo una kasoro gani??? wachangiaji wawepo au wasiwepo serikali itafanya wajibu wake, haimtegemei niffer kuisaidia wala sisi hatumhitaji niffer kukusanya michango..kwa hiyo niffer asipokuwepo..? na niffer asipokusanya michango wewe unakosa nini? tunakataa niffer kukusanya michango kwa sababu tayari upo utaratibu wa kufanya hicho anachokifanya, yeye hahitajiki! pili akiachiwa watatokea wengine kufanya kile kile anachofanya na si lazima wafanye kwa nia njema..ndio maana njia rahisi ni yeye kufahamu haruhusiwi kukusanya michango..labda ya harusi lkn si ya majanga! hope umeelewa, kasome na hiyo sheria..!
 

Attachments

  • SHERIA YA USIMAMIZI WA MAAFA Na. 6 YA MWAKA 2022..pdf.png
    72.6 KB · Views: 3
Kumuhoji mtu ni mpaka pawe na jambo linalokiuka utaratibu au sheria. Sasa tunachotaka kujua, huyo Niffer kafanya kosa gan au kakiuka utaratibu upi??
Hivi inaingia akilini kuwa janga kama hili mtu binafsi ajitokeze na kuanza kuchangisha fedha bila kibali? Huoni kuna uwezekano mkubwa wa fedha kutumika vibaya au hata kupigwa? Vitu vingine tuwe tunatumia common sense. Huoni kuwa watu watatumia loophole kama hizi kutapeli?
 
I can't consume your word salads, no but thanks. You wrote A whole lot paragraph without saying anything of substance, rather than repeating yourself.
 
Umecopy na kupaste, Lakini somo limeingia! Hongera mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…