Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

Wewe kweli zumbukuku. Akili zako na za Niffer zinafanana

Hayo ulionyesha ni masharti ya jumla (elewa vizuri hapa). Na hiko kifungu ulichoonyesha kiko applicable kama huyo mtu binafsi kapewa ombi maalumu (rejea kifungu no. 35) au kibali na wizara cha kuchangisha na kisha huo mchango kutoufikisha kwenye kamati ya maafa.

Sasa huyo Niffer na wewe zombie lake nani aliwapa hicho kibali au hilo ombi la kuchangisha?
 

Hicho kifungu 35 nimekiweka hapo chini wapi kinaelezea uliyoandika? .
Au unaleta tafsiri zako
Kwa kifupi hiyo sheria naijua yote hakuna kifungu chochote kinachoelekeza kwamba mtu binafsi anatakiwa kuomba kibali cha kuchangisha.
Peleka ujinga wako huko kama wa Waziri Mkuu ,
Waziri Mkuu hajui hata sheria anayoisimamia
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-19-21-56-44-25.png
    312.7 KB · Views: 2
majaliwa atoke ofisini haraka, apishe uchunguzi, yeye kafika pale baada ya siku ngapi na alikuwepo dar, badala ya kukamata mmiliki wa jengo unamkamata mtu anaepelekea waokoaji maji ya kunywa, anataka kuficha nini?

kwanza atueleze hela za mwakata ziko wapi?
 
waziri mkuu anapaswa kumlipa Niffer kwa kumchafua na kuharibu biashara, huyu mtu ana malikauli za watu, huyu kuna watu wamempa advance awapelekee mizigo unamkamataje? juzi niffer alikodi atcl dash8 kwenda dodoma bado marafiki zake walijaa behewa tatu za sgr na wamekodi hotel tatu dodoma leo unamkamata kipumbavu tu, hii nchi mbona ina watu wa hivyo sana?
 
Nifa anakusanya michango kama nani?

1. Je ni mfanyabiashara kutoka kariakoo?
- Siku nyingi amekuwa na ugomvi na wafanyabiashara kutoka kariakoo.

2. Je ana uongozi wowote kwenye umoja wa wafanyabiashara?

3. Kwa nini atumie account yake binafsi kupokea hela? Akidai baadhi ya hela alipokea kwenye manunuzi ya bidhaa aake utabisha?

4. Kwa nini ahamasishe watu kuwa anachangisha hela, je hizo hela kazifanyia nini? Kuna sehemu nimeona kuwa kanunua maji ya milliom 40

5. Wakati anakusanya hela, inaonekana hakuwa Dar, yuko Dodoma. Aliweza kufikq hata sehemu husika hata kwa siku moja lilipotokea tukio

6. Hata kwenye vikao vyetu vya harusi au misiba kuna taratibu za kukusanya hela na pia kuna utaratibu wa kuandikisha waliochangia hela. Utaratibu huo ulifwata? Ana list ya watu waliochangia akapost online ili kila mtu aone -transparency

Kifupi alichofanya Niffer ni kutafuta umaarifu kwenye mambo ambayo hayamuhusu. Yeye kama nani? Hana mahusiano mazuri na wafanyabiashara wa kariakoo? Anaharibu utaratib wa businesses Dar....

Akiwekwa ndani kwa miezi mitatu na mahakama nitafurahi sana. Mpuuzi ....
 
Kama mtu anavunja sheria aachwe kisa ana biashara.

Umesoma wapi ndugu yangu?
 
Kama mtu anavunja sheria aachwe kisa ana biashara.

Umesoma wapi ndugu yangu?
unamkamata kwa kosa gani? hiyo sheria iliyovunjwa tuwekeeni tuisome, hicho kifungu 36 tajwa hakumhusu niffer, semeni tu mnachomkamatia sio kukopa vihoja, tunawajua wanaomlipa mwijaku wanaweza kuwa na negativu interest kwa niffer, hili majaliwa hapana hili janga atakula mwenyewe
 
tueleze kavunja sheria ipi? vinginevyo tutakuona ni walewale tu
 
tueleze kavunja sheria ipi? vinginevyo tutakuona ni walewale tu

Watu wapumbavu sana na wanakurupuka kama huyu waziri mkuu.
Eti amevunja sheria hata wahataji sheria gani na kifungu gani.
Watanzania embu tujitahidi kuwa waelewa , hii Nchi inaendeshwa na viongozi wakurupukaji na wasiojielewa.
Tena wengine hawajui hata sheria wanazozisimamia.
Kama hii ishu inahusiana na maafa, suala la maafa lina sheria yake.
Ukimuuliza mtu amevunja kifungu kipi anakosa jibu
 
Huwezi kuanza kukusanya pesa toka kwa wananchi bila kibali ndio maana hata watu wale hupita mitaani kuomba huwa wanakuwa na barua za vibali za viongozi wa serikali.
 
Do your home work mkuu unataka kila kitu utajiwe kwani umekuwa zezeta? Mbona wakusanya michango mitaani huwa wanakuwa na vibali za viongozi wa serikali?
 
tueleze kavunja sheria ipi? vinginevyo tutakuona ni walewale tu
stupid!![emoji34], ko alichofanya huyo binti kwako ni sawa? hata kureason things kikawaida tu hujui, then what if nikikuletea sheria husika? utaelewa kweli?[emoji34]

God help us waTz, cas wengi ni wajinga hata kwa small issues tu kama huyu nilie mqt[emoji34]
 
..na nani alimwambia maji yanahitajika zaidi na si vitu vingine..? inawezekana maji yaliyokuwa yanahitajika ni ya million 6 kwa nini ananunua maji ya million 40? ananunua kwa nani na kwa sababu gani.. mambo ya kuzaliwa machochoroni kwa bahati mbaya ndio matokeo ya tabia km hizi.
 

tueleze kavunja sheria ipi? vinginevyo tutakuona ni walewale tu

Embu tutajie hiyo sheria na kifungu kipi alichokivunja? .
Manake inaonekana umesoma sana
Leo hii kama nchi tunakemea uvunjifu wa sheria, na kufuata katiba.

Kukusanya hela kwa ajili ya maafa bila idhini ya mamlaka husika ni kinyume cha sheria katika Tanzania. Hii inavunja Sheria ya Makusanyo ya Fedha za Umma (Public Collections Act), ambayo inahitaji mtu au kikundi kinachokusanya michango kwa jina la msaada wa maafa kupata kibali kutoka kwa mamlaka husika, kama vile Wizara ya Fedha au mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kukusanya fedha bila kibali inaweza kusababisha hatua za kisheria, ikiwa ni pamoja na faini au kifungo. Hii ni ili kuhakikisha kwamba michango inakusanywa na kutumika kwa usahihi na kwa faida ya waathirika wa maafa.
 
kwanza kamchangisha nani? na alilenga kumsaidia nani? usijekuta alikuwa anachangisha wana vikoba wenzie kumhani mwanachama wao, sie tunashupaza wengine humu hata ukiwapa picha ya niffer hawamjui, tuache kuleta logic tu, tuambizane kavunja sheria ipi? kachangiza dodoma mnamkamata kumleta dar kwa kipi, kama sio mambo ya kipuuzi tu, haya basi kakosa kifungo miezi mitatu mfungeni muone huo utajiri utahamia kwa babazenu
 
Huwezi kuanza kukusanya pesa toka kwa wananchi bila kibali ndio maana hata watu wale hupita mitaani kuomba huwa wanakuwa na barua za vibali za viongozi wa serikali.
Hebu tupe orodha ya michango iliyokusanywa na serikali ikawafikia wahanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…