Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

sheria hii hapa tueleze kavunja kifungu kipi? hiyo public collection act inaingiaje hapa? tuwekee tuisome nasisi
 
Attachments

sheria hii hapa tueleze kavunja kifungu kipi? hiyo public collection act inaingiaje hapa? tuwekee tuisome nasisi
Ni vyema kama unataka kuona vifungu

Kwa mfano:

Sheria ya Huduma za Kibinadamu (Charity Act): Inahitaji kuwa na usajili wa kisheria kwa taasisi zinazokusanya fedha kwa ajili ya misaada au huduma za kibinadamu. Kukusanya fedha bila usajili wa kisheria au vibali kutoka kwa mamlaka husika ni kinyume cha sheria.

Sheria ya Uhalifu wa Mtandao (Cybercrimes Act): Ikiwa kukusanya fedha kuna husiana na utapeli mtandaoni, kunaweza kumaanisha ukiukaji wa sheria za uhalifu mtandaoni.
 
Kama hujaridhika na sheria hizo hapo juu

Sheria ya Kudhibiti Uhalifu na Udanganyifu (The Penal Code, Cap 16) – Sheria hii inahusu uhalifu wa udanganyifu, ambapo mtu anayetumia njia za udanganyifu kupata pesa au mali anafanya kosa la uhalifu. Ikiwa mtu atakusanya michango kwa kutumia udanganyifu au uongo, atavunja sheria hii.

Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO Act, 2002) – Ikiwa michango kwa ajili ya maafa imetekelezwa na mashirika yasiyo ya kiserikali, na mashirika haya yanakusanya pesa kwa madhumuni mengine au matumizi yasiyoruhusiwa, wanavunja sheria zinazohusiana na usimamizi wa mashirika haya.

Sheria ya Fedha za Umma (Public Finance Act, 2001) – Ikiwa fedha zilizokusanywa kwa ajili ya maafa zinatumika kwa njia isiyoruhusiwa na sheria za kifedha, hii inaweza pia kuwa ni ukiukwaji wa sheria.

Sheria ya Takwimu za Uhalifu (Cybercrime Act, 2015) – Ikiwa kutapeliwa kwa pesa kunahusisha teknolojia ya mtandao, basi sheria hii pia inaweza kuwa inahusika, hasa kama udanganyifu unafanyika kwa njia ya mtandao.
 
hizo sheria ulizotaja hazihusiki, niffer anahusishwa na kukusanya fedha za maafa, na niffer ni mtu kama kifungu cha 35 na 36 kinavyotaja, niffer sio taasisi wala hawakilishi taasisi yeyote, ni mtu kama sheria inavyotamka
 
Kwa hiyo alianisha majina ya watu waliochanga?

Kuna sehemu alipost list ya majina ya watu wote waliochangia kuonyesha transparency?

Kwa hiyo unataka tuamini kuwa niffer akisema kakusanya million 5 ni hizo alizosema

Kavunja sheria nyingi sana ikiwemo kukusanya hela mtandaoni kwa manufaa ya watanzania, yeye kama nani?
 
hapa tunaongelea sheria namba 6 ya 2022, sheria ya maafa, niffer alikuwa haendeshi upatu alikuwa anajiandaa kwenda kutoa msaada kwa mtu aliyekuwa anamjua yeye na alikuwa anajiandaa yeye na marafiki zake, wewe hili hambo halikuhusu sio rafiki wa niffer wala sio mlengwa
 
tunaongelea tuhuma iliyoko mbele yake, kuchangisha fedha za maafa, pili list ya waliochanga keshaiwakilisha, tatu yeye ni mtu kama sheria namba 6 ya 2022 inavyotambua mtu au taasisi, sasa yeye ni mtu.
 
Brother umelewa

Inawezekana hujaoma zile video za niffer. Even a child will understand.

Wewe elimu imekupita mbali
 
tunaongelea tuhuma iliyoko mbele yake, kuchangisha fedha za maafa, pili list ya waliochanga keshaiwakilisha, tatu yeye ni mtu kama sheria namba 6 ya 2022 inavyotambua mtu au taasisi, sasa yeye ni mtu.
Kapewa kibali na nani? Sheria inasema unapewa kibali na serikali. Yeye alipewa kibali na nani?

Lets start here
 
tunaongelea tuhuma iliyoko mbele yake, kuchangisha fedha za maafa, pili list ya waliochanga keshaiwakilisha, tatu yeye ni mtu kama sheria namba 6 ya 2022 inavyotambua mtu au taasisi, sasa yeye ni mtu.
Kuchangisha hela za maafa kunavunja sheria mbalimbali, hasa Sheria ya Usimamizi wa Maafa Na. 6 ya 2022 - kama hii umeielewa ngoja niendelee kufafanua

Pia inavunja Sheria ya Usimamizi wa Maafa Na. 9 ya 2015.

Sheria hizi zinahitaji uwajibikaji na usimamizi sahihi wa fedha zinazokusanywa kwa ajili ya maafa, na kukosekana kwa utaratibu mzuri wa kuchangisha fedha kunaweza kupelekea ukiukwaji wa sheria hizo.

Ili kuepusha uvunjifu wa sheria ni muhimu kuwa na tume inayohusika na maafa ili kuhakikisha uwazi na ufanisi katika matumizi ya fedha hizo

Kifungu cha 8 cha Kanuni ya Adhabu kinabainisha kuwa kutokujua sheria hakumwondolei mtu hatia.

Ni muhimu kwa watu kujua sheria zinazohusiana na ukusanyaji wa fedha ili kuepuka matatizo ya kisheria.

Serikali inasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu sahihi za kifedha katika matukio ya dharura
 
HAWA KAMA WAKITAKA KUCHANGISHA MBONA WAMEACHA KUCHANGISHA MICHANGO YA PED EATV
 
Misibaa michango unapewa kibali na nani zile daftarie
Msiba unaokusanya rambi rambi inakuwa inakuhusu, kama mwanafamilia....unaona kwenye misiba mtu yeyote anaweza kukusanya rambi rambi?

Pili mimi pia ni kiongozi kwenye ukoo wetu. Hivyo ukoo mmoja tunatoka familia tofauti, ikitokea mtu kafiwa japo tunalisimamia sisi, anayetoa numner ya kukusanya hela anakuwa mwanafamilia...

List ya waliochanga inaandikwa kwenye daftari la kudumu, na pia daftari la rambirmbi.

Tatu bajeti tunaipanga sisi wana ukoo, familia anakuwa mweka hadhina

Msiba ni maafa au janga la kitaifa ni tofaiti na kufiwa babu yako kijijini...
 
Genius at your finest, wakongwe deep thinkers since way back.
Back to the topic: Majaliwa ni kichwa panzi asiyejielewa, huwa anakurupuka tu. Michango ya maafa imeliwa sana na ofisi yake huwa na budget ya maafa lakini akiulizwa lazima atapata kigugumizi labda abane wafanyabiashara this time around to save his face, kapigwa bao la kisigino na binti mdogo ndiyo maana kapanic anaanza kumtisha na kumchimbia mikwara.
Kasim ni zero brain.
 
Sitaki kuingilia mabishano yenu, ila unapoenda mahakamani kama kuna sheria mahususi ya jambo husika.

Sheria mahususi na toleo la mwisho lina supersede sheria zingine zozote, kuna sheria ya ‘maafa 2022’ na imeeleza namna ya kukusanya misaada na imetamka mtu pia anaruhusiwa.

Kosa la Niffer kutokueleza michango ataikabidhi serikali, lakini kuchangisha watu kwenye maafa, kwa sheria husika hajavunja sheria. Upuuzi zaidi ni kujibizana na waziri mkuu mitandaoni hapo ni sawa na kununua ugomvi na serikali.
 
Ndugu Tanzania hakujawahi kutungwa sheria inayoitwa Public Collection Act.
Embu naomba nijuze hiyo sheria ya public collection act unayoizungumzia wewe ilitungwa lini? Na ni cap ngapi
Acha kukurupuka ndugu unaonyesha jinsi ulivyo hujielewi
 
Embu naomba nitajie hicho kifungu cha sheria alichokivunja kwenye sheria ya maafa nikisome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…