kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kadhia au kimbelembele hao wahanga walisema wanataka maji ya kunywa!Utasaidia wengine siku zijazo wasikumbane na kadhia kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadhia au kimbelembele hao wahanga walisema wanataka maji ya kunywa!Utasaidia wengine siku zijazo wasikumbane na kadhia kama hii
1. Kukitokea maafa/janga la kitaifa, usichangishe fedha. Sheria ya usimamizi wa maafa ya mwaka 2022, kifungu cha 26(2) inasema jukumu la kuchangisha litafanywa na Kamati ya maafa iliyo chini ya ofisi ya Waziri mkuu, kupitia akaunti maalumu.Nawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
Sasa hiyo ni tafsiri yako, mtoaji hasubiri kuombwa. Ushaskia kitu kinaitwa proactive ama ni alien term to you?Kadhia au kimbelembele hao wahanga walisema wanataka maji ya kunywa!
Umepiga kwenye mshono... watu hupinga hiki halafu hao hao utakuta wakiwa wanaunga mkono kitu kile kile.With this mindset chadema is just another side of the same damn coin. What you just lack is control of coercive forces
Sawa mkuu. Ila nasikia sikia! 😂Ahahah sikia mwambie achunguze pia kodi analipaje uyo
Maafa unayatafsirijeSheria ya usimamizi wa maafa ya mwaka 2022, kifungu cha 26(2) inasema jukumu la kuchangisha litafanywa na Kamati ya maafa iliyo chini ya ofisi ya Waziri mkuu, kupitia akaunti maalumu.
Kiufupi ni kwamba Niffer alikuwa anaingiliia majukumu ya ofisi ya waziri mkuu, mbaya zaidi akaanza kujibizana na waziri mkuu mtandaoni huku akijinasibu kwamba ana jeshi kubwa nyuma yake...... Nadhan hilo jeshi alimaanisha watu kama wewe mtoa mada
Hawa siku wakikaa pale jumba kuu nadhani watafanya vituko zaidi kwa retaliationUmepiga kwenye mshono... watu hupinga hiki halafu hao hao utakuta wakiwa wanaunga mkono kitu kile kile.
Angetoa zake kwenye acc kama hasubiri kuombwa!Sasa hiyo ni tafsiri yako, mtoaji hasubiri kuombwa. Ushaskia kitu kinaitwa proactive ama ni alien term to you?
Nenda Central kamuwekee dhamana. Huu mjadala hautamsaidiaNawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
Acha basi mkuu, unataka kusemaje, kwamba hizo familia za waathirika zitatoshelezwa kimahitaji na serikali? Halafu unatofautishaje kuwa hili ni tatizo binafsi na hili sio, familia x iliyofiwa na mtu kwenye jengo kariakoo hilo kwao ni tatizo binafsi ama la kitaifa? Unataka kusemaje ?Mkuu kuna maafa ya kitaifa na matatizo binafsi.... Hapa tunazungumzia maafa ya kitaifa na jukumu la haya maafa liko chini ya ofisi ya Waziri mkuu
Ukisoma hiyo sheria maafa yote yameelezewa vizuri kabisa na ndio maana hukuona serikali ikimwandama kipindi kile anachangisha pesa za matibabu ya mtu binafsi.
Sitamsahau Diblo siku alipotupiga kamba kwamba yule mwamba yuko Ikulu anachapa kazi kumbe baba wa watu yuko kwenye friji nafsi yake isharejea kwa Muumba wake....Nawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
Alienda Ruangwa kuzindua gereza badala ya hospitali.Sitamsahau Diblo siku alipotupiga kamba kwamba yule mwamba yuko Ikulu anachapa kazi kumbe baba wa watu yuko kwenye friji nafsi yake isharejea kwa Muumba wake....
Dibloh nyoko sana wallah....
Kitabu cha Uraia darasa la tatu kina jibu la hili swaliMaafa unayatafsirije
Kuchangishana msibani ni mbaya?Nawaamkua nyote
Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?
- Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
- Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
- Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
- Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
- Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.
Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?
Kweli ITATUWEKA HURU
Tunaelimishana? Hujui kwamba mtu yuko central? Kamuwekee dhamana anaweza akakutunuku utamu akiachiwa.Tunaelimishana kabla ya hatua zaidi