Njooni Wakuu nimekwama[emoji119]

Njooni Wakuu nimekwama[emoji119]

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya thamani ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mpenzi wako na mtu mwingine wamekumbatia na wanapigana mabusu.

Je? Ungendelea kumkimbiza mwizi au ungemfuata mpenzi wako??????????
 
Kiukweli ningemkimbiza huyo mwizi kwanza (laki 5+laki 3),yote uiache iende hivi hivi

Hapana haiwezekani
 
Badala watu mjikite kujadili mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha ya kizazi cha sasa na cha baadae mnaanza kujadili mambo ambayo hayapo na hayawezi kuwepo

Shwain
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Nitachukulia Hilo tukio la fumanizi kama wazamini tu wa kipindi cha kumkimbiza mwizi.. siachi hela wewe tena nikiwaona ndo naongeza spidi na kelele.
 
Badala watu mjikite kujadili mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha ya kizazi cha sasa na cha baadae mnaanza kujadili mambo ambayo hayapo na hayawezi kuwepo

Shwain
Badala ya kutoa maoni kwenye mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha na kizazi cha sasa na baadae unatoa maoni kweny mambo yasiyo na msingi
 
Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya thamani ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mpenzi wako na mtu mwingine wamekumbatia na wanapigana mabusu.

Je? Ungendelea kumkimbiza mwizi au ungemfuata mpenzi wako??????????
Ningewapa hi wajue nimewaona halafu nafuata pesa yangu kwanza , hapo kwanza utapata faida mbili.

1.utapata nguvu mpya ya kumkimbiza mwizi na kwa hasira zote.

2.kama huyo mwanamke ana akili nzuri atakuwa kajiachisha mwenyewe ila kama ni mpumbavu atajiachisha kwa kichapo (japo kwa mimi ningemshusha cheo kisha ningekuwa namtumia kama dada poa tu , na kumtafutia namna ya kumkopa pesa ndefu afu namuacha na deni hapa nitakuwa nimerudisha pesa yangu anagalau nusu ya aliyotumia [emoji23], believe me nina experience sana ya kuwaumiza moyo waumizaji tema mara dufu ).
 
Badala watu mjikite kujadili mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha ya kizazi cha sasa na cha baadae mnaanza kujadili mambo ambayo hayapo na hayawezi kuwepo

Shwain
Mpaka sasa una networthy ya ngapi ukiweka mali zako zote kwa mfumo wa dola ya kimarekani?
 
Badala watu mjikite kujadili mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha ya kizazi cha sasa na cha baadae mnaanza kujadili mambo ambayo hayapo na hayawezi kuwepo

Shwain
Humu ni chit chat mkuu...nenda jukwa la biashara kama utaona topic kama hizi....

Jifunze kua eneo sahihi kwa muda sahihi,unaenda club unataka utulivu ili usome kitabu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ningewapigia wote kelele za mwizi,

Na ni kweli wote wezi tu!
 
Badala watu mjikite kujadili mambo yenye maana kwa ajili ya mustakabali wa maisha ya kizazi cha sasa na cha baadae mnaanza kujadili mambo ambayo hayapo na hayawezi kuwepo

Shwain
Mmojawao ni wewe.
 
Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya thamani ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mpenzi wako na mtu mwingine wamekumbatia na wanapigana mabusu.

Je? Ungendelea kumkimbiza mwizi au ungemfuata mpenzi wako??????????
Mimi naachana na huyo mpenzi tutaelewana badae nyumbani,lazima nimkomalie mwizi niurudishe mpunga wangu na simu yangu ndio muhimu kwanza.
Huyo mpenzi atatibuliwa vuzi sawa lakini hawezi kuibiwa ufa wake utabaki vile vile.
 
Hadithi za kufikirika
122593451_2740797049471953_1777710575627596097_n.jpg

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Humu ni chit chat mkuu...nenda jukwa la biashara kama utaona topic kama hizi....

Jifunze kua eneo sahihi kwa muda sahihi,unaenda club unataka utulivu ili usome kitabu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningeshangaa kama nisingekuona huku, nimependa hiyo "unataka utulivu Club tena wa kusoma kitabu", una maneno wewe😀😀😀
 
Back
Top Bottom