Nkana wataka mil 800 kwa Bwalya , Simba wagoma

Kama unaona mo anafaidi sana simba kawekeze ndada, mbao, yanga n.k ufaidi na wewe.. Fokorostini[emoji23][emoji23]
 
Angekuwa amemaliza mkataba ingekuwa rahisi kumsajili
Timu zetu kuvunja mikataba na kununua hazijazoea
Sio tu hazijazoea bali hazina uwezo huo! Fikiria kama wachezaji wote 10 wa kigeni wakasajiliwa kwa 800m kila mmoja na bado mshahara, timu zetu ziweza kuwamudu?
 
Simba wanauwezo huo kwa mujibu wa msemaji Manara maana unaposema unataka kugombania mchezaji na Al Ahly , Zamalek au Experansa kutoa bilioni kwa ajili ya mchezaji mmoja Ni kawaida
 
Saa nane wanamtangaza huyu sijui ametoka timu gani
Simba wanauwezo huo kwa mujibu wa msemaji Manara maana unaposema unataka kugombania mchezaji na Al Ahly , Zamalek au Experansa kutoa bilioni kwa ajili ya mchezaji mmoja Ni kawaida
 
Simba hawana hela, Mwenye in Moo na kagoma kutoa hizo hela hadi Kilomoni atoe hati. Wataishia kutamani tu. Eti mchezaji hana kiwango hicho, mfyuuu. Haji anaposema anasajili level za Ally al na To Mazembe?
Angekuwa amemaliza mkataba ingekuwa rahisi kumsajili
Timu zetu kuvunja mikataba na kununua hazijazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…