Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
MO ni tapeli la kimataifa, zile pesa simba walizopewa na CAF ziko kwenye account yake binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaona mo anafaidi sana simba kawekeze ndada, mbao, yanga n.k ufaidi na wewe.. Fokorostini[emoji23][emoji23]Mo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya
Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu
Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Kama Kagere wamemuuza kwa 1.2b, itakuwa Bwalya? Si bei ya nyanya kabisa?
Kama unaona mo anafaidi sana simba kawekeze ndada, mbao, yanga n.k ufaidi na wewe.. Fokorostini[emoji23][emoji23]
Simba kama Club hawana pesa...Pesa anazo Mo na ukoo wake! Jiongeze wewe!Simba pesa ipo labda wanaangalia mkali zaidi ya huyo
Hujaelewa tuu, subiri siku atakayosema anaondoka baada ya kumgomea kumpa Hati pale mtakapopewa jumla ya hela alizotumia ndio mtaelewa anawaibiajeAnaiba vp wakati pesa inayotumika Sasa inatoka mfukoni kwake bado hajaweka bilioni 20
Ufadhili kwa mkataba gani,siku atakayodai chake mtamlipa nini?Process hazijakamilika za kufanya aweke bilioni 20 kwenye account ya Simba kuwa muelewa wewe,
Pesa inayotumika Sasa Ni Kama ufadhili tu
Mkuu na Bibi Hindu piaWapigaji ambao wasaka opportunities ndo wapo makini kuliko nyie wafuata upepo. Hapo klabun kwenye mtu makini ni mzee kilomoni tu, wengine mbumbumbu
Nalo neno........Isije kuwa Mo ana overprice wachezaji ili aweze kuiba vizuri hapo simba
Sio tu hazijazoea bali hazina uwezo huo! Fikiria kama wachezaji wote 10 wa kigeni wakasajiliwa kwa 800m kila mmoja na bado mshahara, timu zetu ziweza kuwamudu?Angekuwa amemaliza mkataba ingekuwa rahisi kumsajili
Timu zetu kuvunja mikataba na kununua hazijazoea
Simba wanauwezo huo kwa mujibu wa msemaji Manara maana unaposema unataka kugombania mchezaji na Al Ahly , Zamalek au Experansa kutoa bilioni kwa ajili ya mchezaji mmoja Ni kawaidaSio tu hazijazoea bali hazina uwezo huo! Fikiria kama wachezaji wote 10 wa kigeni wakasajiliwa kwa 800m kila mmoja na bado mshahara, timu zetu ziweza kuwamudu?
Hizo stori za vijiweni hakuna biashara ya kuuza Kagere kwa bilioni 1.2
Du Mkuu, hata wewe unamuamini Haji Manara!Simba wanauwezo huo kwa mujibu wa msemaji Manara maana unaposema unataka kugombania mchezaji na Al Ahly , Zamalek au Experansa kutoa bilioni kwa ajili ya mchezaji mmoja Ni kawaida
Simba wanauwezo huo kwa mujibu wa msemaji Manara maana unaposema unataka kugombania mchezaji na Al Ahly , Zamalek au Experansa kutoa bilioni kwa ajili ya mchezaji mmoja Ni kawaida
Angekuwa amemaliza mkataba ingekuwa rahisi kumsajili
Timu zetu kuvunja mikataba na kununua hazijazoea
Asee wametishaSaa nane wanamtangaza huyu sijui ametoka timu ganiView attachment 1131532
Asee wametisha
waweza kuta ni kocha wa viungo na si mchezajiTusibiri mkuu,wametisha sana