Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Wale walimfuata kaka yao kuchuma hela ,mbrazili hata coastal Union walisajiri , tatizo wachezaji wa kaskazini kuja huku east ndio utataNoma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ila akiletwa mbrazil (Jaja wa Yanga enzi za Maximo) halitakuwa jambo jipya siyo?
Ryan Moon ,OK natumai ni mchezaji mzuriMchezaji wa Kaizer Chiefs ya South Africa
Free Agent
Mbn rekodi yake haitishi sana , ila anaweza kufaa ligi yetu sio ngumu sanaAnatoka kaizer Chiefs ya South Africa
Simba hawana hela trust me! Hata wangeambiwa milioni mia 2 wasingetoa. Ni wajinga wengi wanaoamini simba wana hela. Watu wansema simba wana hela kwa kutumia picha ya Mo Dewj bila kujua na yeye anafanya biashara na kutaka faida tena kubwa.
Sasa hapo atakua kaiba niniHujaelewa tuu, subiri siku atakayosema anaondoka baada ya kumgomea kumpa Hati pale mtakapopewa jumla ya hela alizotumia ndio mtaelewa anawaibiaje
Siumii ila nawashangaa mnaokula ugali mkitumia picha ya samaki kama mbogaWe unaumia nini sasa!
siyo Haji kasema ni Mo mwenyewe karopa hivyoDu Mkuu, hata wewe unamuamini Haji Manara!
Ikumbukwe kila senti anayotoa ni mkopo kwa Simba. Anaweza kuwa anaidai Simba ma billion.Isije kuwa Mo ana overprice wachezaji ili aweze kuiba vizuri hapo simba
We jamaa shabiki la omba omba fc mambo ya simba huwa yanakuumiza sana ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐....moo huwa anakuumiza sana kisaikolojiaAnatoaje pesa mfukoni kwake? Mbona yeye anatangaza bidhaa zake kupitia jezi ya Simba? Anailipa klab?
Billion 20 zimemshinda kutoa?
Afuate kanuni la sivyo ataishindwa timu
Mashabiki wa makwasukwasu fc sikuhizi mmekuwa wasemaji wa simba....vipi nyinyi manji anawadai shilingi ngapi...isije kuwa hii michango mnayochangisha na mabakuli ni ya kumlipa manji madeni yakeIkumbukwe kila senti anayotoa ni mkopo kwa Simba. Anaweza kuwa anaidai Simba ma billion.
Awape chenji ya billion 20 apewe timu.
Huko kwenu mtu makini ni mzee akilimali tu...waliobaki wengine mazwazwa...ndo mana litimu bovu sikuhizi linafungwafungwa tu na mashabiki wake kazi ni kulialia tu mitandaoniWapigaji ambao wasaka opportunities ndo wapo makini kuliko nyie wafuata upepo. Hapo klabun kwenye mtu makini ni mzee kilomoni tu, wengine mbumbumbu
Ligi kabda haijaanza mnakuwaga na maneno sana but ikishaanza mnaanza kulia lia kuwa mnaonewa wakati mnajijua kabisa litimu libovuuMo ni mhuni sana kila Siku anawajaza simba upepo mara anataka kumuuza kagere bilion moja mara ana msajiri walter bwalya
Dirisha linakuja kufungwa kawasajili akina juma wilison wa singida pekee mtalia na kusaga meno enyi wajukuu wa bi hindu
Mwaka huu mtakula mliko ipeleka hati ya jengo
Manji alitoa kama mwana Yanga. Hakuna deni.Mashabiki wa makwasukwasu fc sikuhizi mmekuwa wasemaji wa simba....vipi nyinyi manji anawadai shilingi ngapi...isije kuwa hii michango mnayochangisha na mabakuli ni ya kumlipa manji madeni yake
Bwalya kwa hiyo thamani bado hajafika...bwalya ni mchezaji wa kawaida sana...thamani yake ikizidi sana ni 150,000-200,000$...haya mengine ni mbwembwe tu za waandishi na story za kutunga...hadi sahivi hakuna anayejua simba imefikia wapi kuhusu wachezaji wa kimataifaMooo aache upuuzi: kwa bwalya hiyo pesa ni reasonable soko la wachezaji duniani kote sasa hivi limebadika;;;; vizuri gharama.
Atuletee iyo mkata upepo
Kwani moo dewji sio mwana simba???naona kampuni hewa ya simba inawawasha kweli na kuwatoa mapovu mashabiki wa makwasukwasu fc๐๐๐Ma
Manji alitoa kama mwana Yanga. Hakuna deni.
Nyie endeleni na kampuni hewa. Kampuni halisi itaanzishwa na Yanga.
Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya.
Taarifa za ndani zinasema Nkana wanahitaji kiasi cha dola 350,000 sawa na shilingi milioni 800 za kitanzania jambo ambalo limekuwa ni gumu kuzitoa.
Uongozi wa juu wa Simba kupitia kwa Ofisa Mtendaji wake, Crescentius Magori, umesema kwa fedha hiyo hawataweza kumsajili Bwalya na badala yake watamsaka mchezaji mwingine.
Imeelezwa kuwa Magori amefunguka kwa kusema Nkana wanadai fedha kubwa tofauti na uwezo wa mchezaji mwenyewe ulivyo kitu ambacho kinaleta ugumu kumnunua.
Tetesi za Bwalya kutua Simba zimeanza muda mrefu lakini mpaka sasa pande zote mbili hazijaelewana juu ya usajili wake.
View attachment 1131395
Manara kawalisha sumu mbaya sana. Manara anatakiwa aongeze kitu kidogo tuu akilini mwake ili awe Kibwetere kwa hawa Mambumbumbu wa Mikiani.Du Mkuu, hata wewe unamuamini Haji Manara!
Akisema wajitupe kwenye chomo cha shimo, mbumbumbu wengi hawatajiuliza. Watajitupa wafie humo.Manara kawalisha sumu mbaya sana. Manara anatakiwa aongeze kitu kidogo tuu akilini mwake ili awe Kibwetere kwa hawa Mambumbumbu wa Mikiani.
Alisemalo Haji huliamini kama msahafu. Ngoja Mzee Kilomoni awatie akili.Mbona yule comedian wao Manara alidai wana uwezo kama Barcelona au Real Madrid (na kuwa hakuna timu ya kuchukua tena mchezaji toka Simba - tena akadai Kagere thamani yake ni USD milioni 8), imekuwaje tena? Uwe na mchezaji mwenye thamani ya Kagere halafu ushindwe kununua mchezaji unaemtaka kwa USD 350K tu?
Kwani bwana mdogo hawezi kuwa kocha?Mbona anaonekana bwana mdogo sana