Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Wale walimfuata kaka yao kuchuma hela ,mbrazili hata coastal Union walisajiri , tatizo wachezaji wa kaskazini kuja huku east ndio utataNoma Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ila akiletwa mbrazil (Jaja wa Yanga enzi za Maximo) halitakuwa jambo jipya siyo?
Ila km ni wa kutoka kaskazini na timu moja wapo kubwa ya huko, watakua wametisha sana