LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umemuelewa Kalamu mkuu au unampalamia tu?
Umeamua kumsemea wakati mwenyewe yupo. Lazima utakuwa una matatizo wewe.

Vigogo wa CCM wanasoma hizi mada na wanachuja watu kwa tabia zao pia.

Się tushavuka huko tunadengua, sasa kama unajitafuta jipange achana na sisi level kubwa.
 
Huyu mama Samia Kwa Nini Kodi zetu anazitumia kufadhili magenge ya kihalifu?wahalifu amewahobga pikipiki ili watuue?hatari sana Huyu mama
 
CCM chama kaka kwa sasa hakuna mmbadala wake kwa sasa.
Unanisikitisha, kwa mtu ambaye naona kuwa una 'exposure' ya kutosha na akili ambayo nadhani imepevuka vya kutosha, halafu uje kuwa 'slavish' namna hii kwa chama ambacho kilisha badilika siku nyingi?
Unakuwa huna tofauti yoyote na manazi wa Simba na Yanga kwa timu zao?

Okay, siku moja weka mada hapa ueleze hiyo "CCM chama" inatofauti gani na CCM anayo iongoza Samia Suluhu Hassan.
Hii kasumba ya kudharau vyama vya uinzani ambavyo vinaonyesha nia ya kuleta mabadiliko haitasaidia chochote. CCM ilipo fikia, hata chama cha mzee Rungwe ni bora kuliko ilivyo CCM; kwamba hicho chama hakiwezi kuwazuia waTanzania kukitoa madarakani kama wanavyo fanya hiyo CCM yako

Sasa mnasubiri hadi muondolewe kwa nguvu na kupoteza maisha ndio ujue ubovu ulio fikiwa na hiyo "CCM chama"?
 
Kuunga mkono ccm ni sawa na kuunga mkono Shetani
Mkuu Erythrocyte , kwanza uhalifu ni uhalifu, unaweza kufanywa na mtu yoyote, hivyo tuitenganishe CCM kama chama, na wana CCM watakaofanya uhalifu, wasikichafue chama.

Pili, kwa vile CCM ndio chama tawala nchini Tanzania, na ni Mungu ndie huweka serikali za mataifa, then CCM imewekwa na Mungu, CCM ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania.

Kama kuunga mkono ccm ni sawa na kuunga mkono shetani, then ni Mungu ndie ametuchagulia shetani huyu, hivyo inapotokea unakabiliwa na mashetani wawili, au mazimwi wawili , then chagua zimwi linalokujua!.

Hili la ushetani na umalaika, nimeendesha darasa humu angalia tarehe ya bandiko hili
Kwa vile Tanu ndie baba wa CCM, na Tanu ndicho kilichotupatia ukombozi, then like father like son, CCM ni chama cha ukombozi wa Watanzania.

Wengine wetu kama sisi tunakifananisha na mkombozi, muokozi!.

NB. Huku kuendelea kueneza chuki dhidi ya CCM kwa njia ya kuivoke ridicules, its not gonna add up the votes come 2015!, CCM itarudishwa kwa sympathetic votes kuwa ilitukanwa sana!.

Pamoja na CCM kuwa ndie chama mwokozi wetu, bado hajaweza kutufikisha kwenye ile nchi ya ahadi!. Kufuatia hali hii, watu sasa wanaijengea chuki CCM na kuifanya ionekane kama ni li zimwi!. Kwa kuwa hakuna mwingine as of now aliyeonyesha uwezo wa kutufikisha, then 2015, kuna hatari ya kuendelea kulichagua hili hili li zimwi CCM maana ndilo likujualo!

Pasco.
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, tuliwapa, na uchaguzi wa leo wa serikali za mitaa, tunakwenda kuwapa tena!.
Twendeni tukapige kura!.

Kizungu wanasema, “in between the two devils, chose the lesser”

Nenda kapige kura, twendeni kupiga kura.

P.
 
Back
Top Bottom