safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Huyu jamaa ameulizwa maswali personal sana na huyu odemba ila aliwez kucontrol vyemNa Mimi nimfuatilia nimeona Yuko vizuri upstairs, ni mtulivu na makini. upinzani mkubwa utakuwa kati ya huyu mwamba na Bonifas Mwabukusi. Wengine kina kabendera na wenzake ni wasindikizaji.
Binafsi Nampa kura Mwabukusi. Siyo kondoo hivyo Ataleta changamoto Kwa serikali na watawala.