Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS

Jifunze kusoma, sijaongelea Lazma ashinde bali iwapo hata. Usikurupuke kama upo Instagram hapa.
Alafu ni Raisi, binti jifunze kuandika
Nilichosndika nakijua, usijitie dole la ujuaji kutaka kunirekebisha.
Haya rudi ukaendelee kujifunza hiyo lugha unayojitia kuijua.
 
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.

Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa.

Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi kama Tanzania si nchi kama inatafuta uhuru, ni nchi inahitaji maendeleo na watu smart. Makosa yapo. Ila sitomuhukumu sweetbert.

He is Far better for Tanzania. ASANTE.

View attachment 3054487
Ni kada wa ccm, wanaweza mpa hizo nafasi
 
Mkuu mpendekeze awe mwenyekiti wa ccm uchaguzi ujao.
 
..tatizo nchi hii usipokuwa mwana-ccm utaishi kama raia wa daraja la chini.
FB_IMG_1722754346415.jpg
 
Jifunze kusoma, sijaongelea Lazma ashinde bali iwapo hata. Usikurupuke kama upo Instagram hapa.
Alafu ni Raisi, binti jifunze kuandika
Unamrekebisha mwenzako kiswahili wakati wewe mwenyewe hukijui 🤣......."ALAFU" ndio neno gani sasa.
 
Back
Top Bottom